Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,172
- 107,746
hahaha nimeona aisee kumbe kuna vita huko kuna jamaa anadai ati Tanzania ni socialist state ndio maana serikali inajenga vituo wakati huko kwao capitalist na individuals wanajenga! Cha ajabu haonyeshi hizo private bus terminals na anasahau all western nations wana bus terminals zinajengwa na municipal governments zao kama sisi!Da Humu ndani Ndio utajua Kuwa Wakenya Wana Wivu na Chuki sana dhidi ya Tanzania
Jamaa Wameumia Sana
Ila nimependa Kuona Sasahivi Watanzania Hawapo Nyuma Wanawapiga Kweli kweli Yaani Wakenya Sasahivi Wameshakuwa Wadogo Kama Piliton kwa Watanzania Mitandaon😂😂View attachment 3231774
mimi kuna suala linaniuma, mradi wa Arusha bus terminal umeishia wapi?Naona Uwanja wa Arusha Unaenda Mbio
View: https://www.instagram.com/p/DF4fN6XNscM/?igsh=NXF2NzBhbmU0ZWdr
Hiyo battle tulishamaliza kitambo mkuu, huyo mnuka nnya anajua.Hapa ni kama unajitekenya 🤣🤣🤣
Katafute
1.Nguru doto hotel
2.Mount Meru hotel
3.Grand melia hotel
Hizi zote huna ka hotel kokote in Mombasa that come close
Oohps nilisahau Arusha iko na Stadium mbili one is still under construction.
Yes Arusha is far better likija suala la stadium
Kama unaona kwenye hili nakuonea twende ground. When it comes to beautiful and luxury estates Arusha can fairly compete with Nairobi. No doubts.
Heb leta ile takataka ya mombasa 🤣🤣🤣
Also Arusha has KIA. So Arusha ni bora as the matter of fact
Dongo kundu ni takataka gani wewe mbele ya mitaa za Chuga.? 🤣🤣
kisii labda ishibdane gdp na Sumbawanga .
Kili marathon here we come
Duh! They mean business.Naona Uwanja wa Arusha Unaenda Mbio
View: https://www.instagram.com/p/DF4fN6XNscM/?igsh=NXF2NzBhbmU0ZWdr
Dom yamoto sana aiseeAngalia Dodoma inavyowaka, usijifanye chale, kila siku mnalia nchi yenu jangwa na hakuna initiatives zozote mnazochukua kumaliza ujangwa, angalia akili nyingi na shule ya kitanzania ilivyo na manufaa, Dodoma ishakuwa ya kijani by the time nyie mnalia lia.
Yule fala hata msa hajawahi kufikaMombasa kwenye nyumba za tope katikati ya Jiji! Atutake radhi!
Mwingine Anakuambia Karne Hii Nchi ya Kijinga Inakimbilia Kutengeneza Vituo vya Mabasi wakati Wao Wapo Busy na Usafiri wa Angahahaha nimeona aisee kumbe kuna vita huko kuna jamaa anadai ati Tanzania ni socialist state ndio maana serikali inajenga vituo wakati huko kwao capitalist na individuals wanajenga! Cha ajabu haonyeshi hizo private bus terminals na anasahau all western nations wana bus terminals zinajengwa na municipal governments zao kama sisi!
Wait, somebody shared a Tanzanian bus station on a facebook page, instead of just appreciating it, Tanzanians saw an opportunity to bash Kenya but it's Kenyans that are hateful? Make it make sense.Da Humu ndani Ndio utajua Kuwa Wakenya Wana Wivu na Chuki sana dhidi ya Tanzania
Jamaa Wameumia Sana
Ila nimependa Kuona Sasahivi Watanzania Hawapo Nyuma Wanawapiga Kweli kweli Yaani Wakenya Sasahivi Wameshakuwa Wadogo Kama Piliton kwa Watanzania Mitandaon😂😂View attachment 3231774
Kuna mnuka nnya mmoja atabisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naona Uwanja wa Arusha Unaenda Mbio
View: https://www.instagram.com/p/DF4fN6XNscM/?igsh=NXF2NzBhbmU0ZWdr
FYI Arusha city 272 sq km is bigger than Mombasa city 219.9 sq km!Arusha ni size ya Bungoma.
Mbona hawaonyeshi render ya uwanja au ni ile ya awali maana jirani yupo tumbo joto😁