The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Leo kabla ya mechi ya Simba kuna muda nikaweka ligi ya Kenya kama dk 3 hiviii kati ya shabane Vs kaliobange, aiseeee uchale niliokutana nao humo sio wa dunia hii, kwanza uwanja hovyo, ni ghost 👻 alafu mpira butubutu mwanzo mwisho, madogo wakauliza timu za daraja la ngapi hizi? Nikawajibu hiyo ni ligi kuu Kenya, wakauliza tena kwa pamoja "kwani Kenya hawapendi mpira? Mbona wanacheza hivi alafu uwanja mbovu sn?, Nikawajibu bila kupepesa kwamba Kenya ni taifa maskini ndiyo mana ligi yao iko hivyo. Madogo wakaniomba nitoe na niweke Tabora Vs mashujaa.
Halafu huyu maku Teargass anajitia wazimu wakati ndio Wakenya wenyewe wanatoa huo ushuhuda.Watu wanatembea uchi Ukunyani!
Hivi kwa nini wewe nyang'au unachanganyikiwa kabisa ukisikia neno Tanzania?😁😁I can see you celebrating A comment of a fellow madman like you
I don’t keep data but I know it’s now very convenient to cruise to Ushago ..I can land in JKIA at 8 pm and no need to sleep in the city … 2 hours or less niko jikoni Ushago … traffic or notWhat's the traffic density on that road?
My sources at the State Department tells me this ain’t happening.. Save this post… there is a Trump freeze on all foreign aid for DOGE audit but Haiti stabilization is critical for US national security. So the mission will continue… Sorry to disappoint you .. 😁
Hizi gari tatu ama ngapi zimepita, maana sijahesabu.
Kenyan fools are extraordinary arrogant, and Ruto is an excellent example.
View: https://x.com/StandardKenya/status/1887517382551142825
MY TAKE
The issue is who r the owners of those flower farms that replace food and grow flowers instead?
Plans and actual payment are two different things. Kenya SGR is lagging behind in loan repayment.Payment plan of Kenyan SGR loan. Kuna wachawi hata hawajui loan ya SGR yao inalipwa aje.
View attachment 3227197
WTF hela ya Ndege zingine ipo ila Jeshi muhimu tunajiaibisha hivi?
Piga pini mipaka kwa hawa wakunya, tunatakiwa kuwa serious pale mpakani na hospital zetu.🤣🤣😆😆😆 Trump atasababisha Hawa wagonjwa wa Kundustan wafe kama utitiri,tutakosa watu wa kujadiliana humu jf 👇👇
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1885317095845453960?t=wwo6OkHLKiTgmE21-AZHYg&s=19
kwani nani kakuambia hatununui ndege za kijeshi?WTF hela ya Ndege zingine ipo ila Jeshi muhimu tunajiaibisha hivi?
Kuna watu wengine hata historia ya Maziwa Makuu hawaijui kufahamu nini kinaendelea! Na hawajui hili la eastern DRC likifanikiwa nn kitafuata na Tanzania inayo-share makabila na nchi zaidi ya nane itawekwa katika hatari ipi! Ni ujinga kushangilia wanachofanya wanaowania kurudisha Bahima empire/ Karagwe Kingdom!Hata Mimi namshangaa!