Wale walioshindwa kuingia kwenye politics wameamua kwenda kuwa slaves uarabuniSio mombasa tu bali Kenya iko hivyo matajiri wote ni wanasiasa na ndiyo mana Kenya ni siasa tu na siasa ni Kenya. Wakenya wote wanapambana wawe wanasiasa, wewe angalia miandiko ya wakenya humu imejaa siasa na ukabila, kimsingi Kenya haitokuja kuendelea mpaka wabadili mfumo wa elimu alafu kizazi hiki chote kipotee waje wakenya wengine, na waache mambo ya kushinda kwenye mitandao kubishana siasa kama wakenya hawa wa sasa.
Can you prove these claims bawabu?Tanzanians dollar millionaires are 2 times more than Kenya. Acha uongo kijana.
Uzuri ni kwamba unaongea ukiwa Tandale. Hiyo Mombasa haujawahi kanyaga hataMombasa ina nyumba nyingi sn za udongo na ndiyo mana wakiweka picha za mombasa wanaweka za CBD pekee na ni picha za mbali kama Nairobi, ofcz ndiyo mji wenye nyumba nyingi za udongo hapa Africa, haistahili hata kuitwa city.
I love his confidence.
Na hatowai. 🤣🤣Uzuri ni kwamba unaongea ukiwa Tandale. Hiyo Mombasa haujawahi kanyaga hata
Zanzibar yote ni slum.
Kwani hapo kenya we unaona ni wapi mzee.? 🤣🤣 jamaa jipumbavu hili, Dar-Mombasa nauli ya Bus ni 30k Tz money. Hata nauli ya Mwanza kubwa. Kuna mijitu sijui ni michizi. 🤣🤣🤣. Kutoka kwetu TA hadi Mombasa nauli 15k Tz money.Na hatowai. 🤣🤣
Yet hujakanyaga hata Lungalunga.🤣🤣Kwani hapo kenya we unaona ni wapi mzee.? 🤣🤣 jamaa jipumbavu hili, Dar-Mombasa nauli ya Bus ni 30k Tz money. Hata nauli ya Mwanza kubwa. Kuna mijitu sijui ni michizi. 🤣🤣🤣. Kutoka kwetu TA hadi Mombasa nauli 15k Tz money.
What if I show you this one , mind you, this is my just two weeks harvest from my site. 161g of 95% Purity and the price is 90$ per gram ...Show me your account idiot. No wonder you are marrying school dropout kids.