Mombasa hata Nairobi Haina mamillionare ila inawanasiasa wanaochota mabillion ya serikali hivi pata picha mabillion ya dollar ya mkopo wa Euro bond wamegawana watu kazaa SI mshatengeza mamillionare kibao huku wakenya wakiendelea kufirika kulipa na kuuza kila kitu Kwa mchina Hadi barabara mpaka umlipe mchina ndo upiteMombasa has the same number of dollar millionaires as Dar is slum.
Nairobi has more dollar millionaires than entire Tanzania.
Tanzanians dollar millionaires are 2 times more than Kenya. Acha uongo kijana.Mombasa has the same number of dollar millionaires as Dar is slum.
Nairobi has more dollar millionaires than entire Tanzania.
Na source of income ya millionaires wa Kenya ni utakatishaji pesaTanzanians dollar millionaires are 2 times more than Kenya. Acha uongo kijana.
This is a sure sign of a system that is on the verge of collapsing😂😂😂😂😂 kenya kwanza na kenya kwisha sasa thank u kasongo for ur support
View: https://x.com/nationafrica/status/1886320628245877122?s=46
Labour export ni myopic thinking why not Labour intensive enterprises as it is a win win solution.
Kwa upande wa utalii wa fukwe Tanganyika tumelala sanaCruise Ship at Kilwa 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DFnvCbOtpKH/?img_index=6&igsh=OWtxZm8zNTBpNHR4
Hata Nairobi ni tope na mabati full suite mwendo mmoja!Mombasa ina nyumba nyingi sn za udongo na ndiyo mana wakiweka picha za mombasa wanaweka za CBD pekee na ni picha za mbali kama Nairobi, ofcz ndiyo mji wenye nyumba nyingi za udongo hapa Africa, haistahili hata kuitwa city.
Sanaa kaka, kimsingi ilikuwa inashangaza sn inakuaje Tanzania haiwi ranks za juu kwenye mazao kama haya, hakika huyu Bashe atatuvusha, ana akili nyingi sana.Bashe ana chapa kazi
Sio mombasa tu bali Kenya iko hivyo matajiri wote ni wanasiasa na ndiyo mana Kenya ni siasa tu na siasa ni Kenya. Wakenya wote wanapambana wawe wanasiasa, wewe angalia miandiko ya wakenya humu imejaa siasa na ukabila, kimsingi Kenya haitokuja kuendelea mpaka wabadili mfumo wa elimu alafu kizazi hiki chote kipotee waje wakenya wengine, na waache mambo ya kushinda kwenye mitandao kubishana siasa kama wakenya hawa wa sasa.Mombasa ukiona millionaire ujue ni mwanasiasa
Kazi nzuri ila inabidi tubadilike na tuache hii tabia mbaya ya kuzipa mali za Uma majina ya viongozi, hii Cancer ni mbaya sana na sidhani kama itaondoka leo, ni ujinga na uzwazwa plus uchawa uliokithiri Tanzania. Wangeweza kuuita hata Olduvai Gorge au Meru stadium au wangeacha uitwe Arusha stadium.
Asilazimiahe mambo, nchi inaweza kukuzuia kuingia bila kukupa sababu, abaki kwao.
Asilazimiahe mambo, nchi inaweza kukuzuia kuingia bila kukupa sababu, abaki kwao.