Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa kikwete alikua anawaeleza raia wa mkoa wa Kagera walale kwa amani na kwamba no force can threaten us in this region.
View: https://youtu.be/aDci72DG9D4?si=b4mn-L0ArSvQ4t2y. Hii ni baada ya ***** ***** za kale kajamaa ka Rwanda kuleta ngendembwe. Raisi kikwete alieleza wazi na kumpigia mfano Amin Dada wa Uganda ya kwamba hatukuamua tu kumfurusha kwenye mipaka yetu bali pia tuliamua kumnyang’anya madaraka. Hiki Ndio kitakachomkuta Kagema akijichangaya nasi. Kutokea hapo kijamaa kikaufyata mkia wake.

Wewe ***** Njoo mwaiofhawaii jifunze historia ya bongo malaya hii 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…