Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yap zipo boda boda za baiskeli, pikipiki na taxi za gari...lipi jipya hapo?😀😀😀hata Nairobi hizo baisekeli zipo tele...ila haimaanishi kuwa hizo ndizo zinazotumika taxi 😀😀😛😛
nioneshe taxi gari za kisumu nasubiria😀😀😀

sijapata kuona jiji duniani lenye taxi baiskeli sijapata kuona😛 zaidi ya kisumu na eldoret na nakuru
 
nioneshe taxi gari za kisumu nasubiria😀😀😀

sijapata kuona jiji duniani lenye taxi baiskeli sijapata kuona😛 zaidi ya kisumu na eldoret na nakuru
naweza nikaleta picha za taxi kutoka kisumu ila sijui vile nita prov kwamba hizo picha ni za Kisumu....taxi za Kisumu zinafanana na taxi zingine tu wala hazina jina Kisumu Taxi...we jua tu kuwa kuna taxi Kisumu....tena tele...huwezi kuniambia mzungu anashuka toka Kisumu airport kisha anabebwa na baiskeli mpaka hotelini...hapo utakua punguani kufikiri hivyo
 
Mwanza kubwa sana kwa Mombasa. Twende na Unguja uone mambo wewe.

Tihahahhaaaaa.... Mwanza gani... Mwanza nayoijua? ??? Pwahahahaa. Mwanza hata kwa Eldoret haioni chochote..... Mawe nyingi kuliko majengo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…