Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba hii hapa chini ni Dar?🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
View attachment 3206585
Yani Karen imewaumiza roho hadi mkaona muibe picha za wenyewe na kusema ni yenu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
I was being sarcastic..πŸ˜‚πŸ˜‚β€¦ if Karinde is Karen , then OysterBay ya New York ni ile ya Dar es Slum ..πŸ˜‚
 
Wameazimia Samia awe mgombea Urais lkn hawana amaniπŸ˜‘πŸ˜„
Hata attitude iliyokuwepo mkutanon baada ya Samia kujitangaza mwenyewe (yan baada ya yule dada kusoma azimio) sio mzuri..
Wacha mtifuano uanze
yaani hahhaha inachekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wameazimia Samia awe mgombea Urais lkn hawana amaniπŸ˜‘πŸ˜„
Hata attitude iliyokuwepo mkutanon baada ya Samia kujitangaza mwenyewe (yan baada ya yule dada kusoma azimio) sio mzuri..
Wacha mtifuano uanzemim
Bado ngoma mbichi...mpaka kufikia October tutaona mengi.
Ila urais ni 50%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…