babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,453
- 36,096
Yaani 40% ya wakunya wanaishi kwenye umasikini ulio kithiri! 😂😂😂Hizo ni estimation Watchman, jifunze kusoma data that's why you are confusing yourself, mara 44% mara 42% wakati most recent data ni hizi 👇👇View attachment 3203265
Alafu kwanza ni kitu gn kinakufanya usiamini kwamba mna idadi kubwa ya maskini kuliko Tz? Mbona indicators zipo wazi kabisa, lack of employment, lack of food, percentage of Kenyans who are fleeing their motherland country, trade decline, Government failure to fund projects, just to mention a few, unabisha nn sasa hapo.
Kwenye 2024 kuna alama ya forecast, unajua ku interpret data kweli wewe?Hii hapa Kuna hadi ya 2023. 2024 is only forecast because this data was compiled in 2024. Mnapenda ubishi sana watoto wa Nyerere Kambarage View attachment 3203271
Mpaka museveni kawapita, hivi ninyi mna faida gani duniani surely? Rwanda is doing way better than you idiots nowThe good thing is that you now know the truth. I hope that you don't fall in the 43% bracket
Na bado Yuko hapa kubishana na watanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani 40% ya wakunya wanaishi kwenye umasikini ulio kithiri! 😂😂😂
You dont need to be a rocket scientist or to be furnished with articulated ststs poverty in Kenya can be perceived by a naked eye.Ukitaka mbishane siku nzima muambie nchi yao ina masikini wengi na slums nyingi. 😂😂😂
What is more important to the public a bus terminal or a supermarket?Kubali tu hamna supermarket yenye hadhi ya Naivas just the same way sisi pia hatuna bus terminal. Mbona mambo rahisi mnafnya yawe magumu?
Usha change, sio 44% wala 42% ni 43% now🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimekushika kende zako sasa unatapatapa kama kawaida yenu.
Shugulikeni na umaskini uliokithiri kwenu muache kushugulika na ya jirani. I told one of you yesterday that most of you here don't have the muscles to challenge me in this forum on FACTUAL matters. Ona Sasa hata wewe umeanza kuropokwa. 39% will never be big than 43%. Umesikia bongolala?
Sasa wanabisha wakati vitu vipo wazi, shida ni kwamba Ruto anawaambia ukweli, kitu ambacho hawataki kusikia.You dont need to be a rocket scientist or to be furnished with articulated ststs poverty in Kenya can be perceived by a naked eye.
1. Slums everywhere states the living conditions of these people.
2. Hunger and starvation everywhere
3. A mountain of debts
4. No clean water
5. Inefficient electrical transmission and supply
6. Lack of organized public infrastructures
7. Delayed salaries, delayed salary increments
8. Shortsge of medicines for priority diseases
9. Political anarchy fueled by njaa za viongozi
10. Demonstrations due to unbearable life conditions
Inaonekana Ruto amevunja kile kitengo cha kupika data. 😂😂😂Sasa wanabisha wakati vitu vipo wazi, shida ni kwamba Ruto anawaambia ukweli, kitu ambacho hawataki kusikia.
Hawa wataelewa maana ya brand kweli?🤣Mimi sijaona logo ya EABL kwa picha, mimi nimeona logo ya Tusker na ndio maana nimekuambia Tusker is a Kenyan Brand. Range Rover is a British brand but it's currently owned by an Indian Company. Simple comprehension inakushinda.
Bro unajua penye ofisi za WB ziko? Kama hujui naezashare with you their email address to share your concern regarding their their Tanzania poverty report of 2024.
View attachment 3202965
Wajinga sn wakenya aisee, yani wanashangilia mpaka failure ilimradi wajipe furaha ya uongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio akili zao za kimaku hizi aibu haoni ila anaona sifa kuwa postponed. Aliyewaloga kafa.
Ungemuacha aendelee kujiliwaza,msoto wa nyumba za bati umeharibu akili zakeWe ng'ombe kubwa jinga hujui hata kusoma data 😂🤣😅 angalia hiyo data ni ya 2017 mshamba wewe
View attachment 3202991
Na china pia tumeshaanza kupeleka juzi
We are working to satisfy the requirements shida iko wapi nyangau?Habari ya ATCL wadau? 🤣🤣🤣🤣View attachment 3202545
Endeleeni tu na safari za ndani msafirishe koroshoWe are working to satisfy the requirements shida iko wapi nyangau?