ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,458
- 89,880
Percentage wise Kundustan is poorer than Tanzania.Congratulations Twitter worriers. Meanwhile, WB knows betterView attachment 3202519
hii hapa,angalia tofauti ya hizo supermarkets hapoShow me any big supermarket in Tanzania than Naivas in terms of network and networth
From 'ligi yetu has never been played at night' to 'mechi ya CAF ikichezwa usiku'. Bongolala, it's time uanze matayarisho ya shift ya usiku.Mlifungiwa kuchezesha mechi usiku cz viwanja vyenu havikidhi vigezo. Kama unabisha weka mechi hata moja ya CAF mliyocheza usiku, aaahh kumbe hamna hata uwanja mmoja CAF approved, nilisahau 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umekosa jibu ukoona ujinasue?🤣🤣🤣🤣🤣hii hapa,angalia tofauti ya hizo supermarkets hapoView attachment 3202520
Huoni aibu yn Ethiopia iwe chini ya Tanzania kwa idadi ya maskini? World bank ya kibera itakuwa hiyo, by the way new data hizi hapa 👇👇Congratulations Twitter worriers. Meanwhile, WB knows betterView attachment 3202519
Sasa wewe hapo Mabibo uswazini you know better than World Bank?Percentage wise Kundustan is poorer than Tanzania.
Sasa tuamini Facts East Africa ama World Bank?Huoni aibu yn Ethiopia iwe chini ya Tanzania kwa idadi ya maskini? World bank ya kibera itakuwa hiyo, by the way new data hizi hapa 👇👇View attachment 3202524
Characteristics of a poor country 😆😆😆👇👇Sasa wewe hapo Mabibo uswazini you know better than World Bank?
Uoni supermarkets,nimekutoa akili hapo ila elimu ndogo huwezi kuelewa,TZ hatuna supermarket kama hiyo,tuletee bus terminal kama ya magufuli huko kwenu,kila nchi ina strategies yake,ni kawaida cha huku kutokuwepo kuleUmekosa jibu ukoona ujinasue?🤣🤣🤣🤣🤣
Weka linkSasa wewe hapo Mabibo uswazini you know better than World Bank?
Ukitaka mbishane siku nzima muambie nchi yao ina masikini wengi na slums nyingi. 😂😂😂Huoni aibu yn Ethiopia iwe chini ya Tanzania kwa idadi ya maskini? World bank ya kibera itakuwa hiyo, by the way new data hizi hapa 👇👇View attachment 3202524
Kubali tu hamna supermarket yenye hadhi ya Naivas just the same way sisi pia hatuna bus terminal. Mbona mambo rahisi mnafnya yawe magumu?Uoni supermarkets,nimekutoa akili hapo ila elimu ndogo huwezi kuelewa,TZ hatuna supermarket kama hiyo,tuletee bus terminal kama ya magufuli huko kwenu,kila nchi ina strategies yake,ni kawaida cha huku kutokuwepo kule
Unafikiri sisi wakenya ni kama nyinyi mnaolazimisha mambo?Weka link
Ukitaka mbishane siku nzima muambie nchi yao ina masikini wengi na slums nyingi. 😂😂😂