Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are Dodoma suburbs allergic to paved roads?
Nilijua ndiyo kichaka chako cha kujificha, hiyo miji ya Ilazo, Njedengwa, Ihumwa, Iyumbu, Gov city etc ni miji mipya na unajua hilo, so ni lazima roads zijengwe mtake msitake 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Dusty Dodoma 🀣 🀣
 
Another unplanned city loading. 🀣🀣🀣
 
Hawa majamaa wa US wanapenda stadiums na theatres hapo LA
bado kuna Peackock thearte, shrine auditorum , the forum , San Diego Arena , yani majamaa wanapenda concerts sana
 
View attachment 3200629
BRT Phase 3, JNIA Junction, Mradi unaenda kwa kasi sana wanafanya finishing za vituo pia wanafunga taa za barabarani, nafikiri mkutano wa Africa Energy Summit unachochea kasi ya mradi huu.
Katika vituo vitakavyopendeza vya BRT hiki kitakuwa kimojawapo, landscape design yake imechanga pavement na sehemu za maua na miti midogo midogo almost 50/50. At least phases hizi zilizofuata baada ya awamu ya pili wamejali maswala ya beautification, Kudos.πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…