Juu umesema ama? ππ nani alikuambia ni SUMMA inajengatalanta inajengwa kufuatisha Amahoro stadium mkuu. ππ hilo mbona lipo wazi.?
Amahoro na Talanta vinafanana, aliye design Amahoro ndiye huyo huyo aliye design Talanta, cz mli copy na ku paste. Mlipeleka ombi mjengewe uwanja kama huu ππ
View attachment 3199670
But, mchina akaangalia uwezo wenu mdogo hamtomudu kurejesha pesa yake, akawaambia tafuteni design yoyote ya ki Africa ambayo mtaiweza, akawaambia jengeni kama mkapa stadium ambayo ni the best, kwa sabu mna wivu na Tz mkaona ni heri muige huu na sio Mkapaππ
View attachment 3199674
Mwishowe mkadondokea humu kwenye tortoise shell πππ€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 3199675
But still, Amahoro ni the best than yours, ofcz it's the second best stadium in EA after MkapaππView attachment 3199676
πππ₯π₯Siku huu mradi ukianza , Wakundustan watalia kilio kikubwa sana ππ$42 billion LNG project in Lindi promises thousands of jobs and economic growth $42 billion LNG project in Lindi promises thousands of jobs and economic growth
Sijazungumza habari za nani anajenga mimi, nimekwambia nyinyi mnajenga Talanta stadium and its design resembles Amahoro Stadium in Rwanda. πππJuu umesema ama? ππ nani alikuambia ni SUMMA inajenga
Hamna kitu mmebakisha, huu uwanja umepostiwa zaidi ya mara kumi humu. Alafu kwnn viwanja vyenu mliamua kujenga jukwaa moja moja namna hii?Here is an unknown stadium pale kanduyi bungoma hata haijawai postiwa huku ππView attachment 3199717
Kama kawaida yetu huwa tunawatanguliza mwishowe tunawapiga na kitu kizito kichwani Kama vile sgr, pipeline la Uganda πKwani hamuoni aibu kuchimba foundation mwaka mzima? Na kitu mnachimbia shimo milele ni mini stadium ya 20k seaters pekee.
Huyu ni shabiki wa kuishabikia Tanzania.
So your 20k Arusha mini Stadium itakuwa kitu kizito kuliko Talanta which is a 60k stadium? Kweli wewe ni fala na mjinga.Kama kawaida yetu huwa tunawatanguliza mwishowe tunawapiga na kitu kizito kichwani Kama vile sgr, pipeline la Uganda π
Arusha stadium will be 30000 seats capacity.So your 20k Arusha mini Stadium itakuwa kitu kizito kuliko Talanta which is a 60k stadium? Kweli wewe ni fala na mjinga.
Dude this proofs your level of reasoning.Sijazungumza habari za nani anajenga mimi, nimekwambia nyinyi mnajenga Talanta stadium and its design resembles Amahoro Stadium in Rwanda. πππ
Yani hii mechi tangu mwaka jana wanaiimba tu, wakaambiwa wajaribu wakati mwingine mana Yanga iko bize, hawakuchoka wakaomba tena, nafikiri mwezi wa pili Yanga itakuwa free ngoja wakione cha mtema kuni, sema Yanga wasilete ujinga, waweke full mkoko.
Whatβs the difference with 20k capacity?Arusha stadium will be 30000 seats capacity.
Akawiagi kubadilisha gia angani huyo *****Inakuuma nini?
Unadhani sisi tuna kamradi kamoja kitembeza kila siku?
Usisahau ulikua unasema mchina amekimbia site?
Tulia wewe mzee wa tuoneshe 1km mwisho ukaanza kijiba cha roho baada ya kuona matokeo upo busy kusubiria hitilafu.