Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BRT inatumika na magari ya serikali, daladala na bodaboda. 🀣🀣🀣 Munapenda jokes, ndio kwa maana hio BRT imewashinda munataka kupea waarabu.
Wapi mzee.? Ukiafuta picha kwa maelfu za BRT Tz utapata inakaa hivi πŸ‘‡πŸΎhii picha yako uliyotafuta kujifurahisha ni kipande cha kariakoo tena ni kwenye junction pale fire, mostly hapa Fire-Gerezani panakaa congested during peak hours. πŸ‘‡πŸΎπŸ˜‚πŸ˜‚ hapa ni junction mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…