Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimesema 3,000 and not 6,000. AMA Kusoma pia hujui?
Baada ya kuedit haya leta hizo evidence hata ya 100 units mpya kwa mwez December au November maana tukiangalia kwa miezi hiyo total purchase of buses from your local assemblers haifiki hata units 80 from November to december
 
Kama kuna garage yenye inakaa hivi πŸ‘‡πŸΎView attachment 3194876then wow. 🀩 πŸ˜‚πŸ˜‚
We huoni wameweka spare parts kwa display. Hadi dirisha imepigwa vyuma ju ya wizi. 🀣 🀣 Alafu kama hujui showroom zote za Toyota hua na similar design. We unaona kama hio garage inafanana na showroom ya dar is a slum.
 
Baada ya kuedit haya leta hizo evidence hata ya 100 units mpya kwa mwez December au November maana tukiangalia kwa miezi hiyo total purchase of buses from your local assemblers haifiki hata units 80 from November to december
You are an idiot. In 2023 3,211 buses were built in Kenya, we are waiting for 2024 data.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…