Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamtoandaa Chan wala afcon msijiliwaze.
 
Kimsingi sina picha lakini gari zinakuwaga displayed ndani mtu akipita nje anaona. Hiyo ipo TA miaka na miaka, tangu nimezaliwa hapo palikuepo. Sasa sijui kwanini nyinyi mnaona fahari. Mwenzako amepost kale kakibanda ku brag. 😅
Wanajiitq watengenezaji wa mabasi ila kwa mwaka wanashindwa import walau chassis 200 kwa ajili ya mabasi tu, huku tanzania kila roro likitua lazima lishushe dozens ya mabasi
 
Wanajiitq watengenezaji wa mabasi ila kwa mwaka wanashindwa import walau chassis 200 kwa ajili ya mabasi tu, huku tanzania kila roro likitua lazima lishushe dozens ya mabasi
We build more than 3,000 buses in a year. So tukiwaambia we are big wings in Bus buildings mnafaa kutulia.
 
Hiki ni kibanda cha Vioo mzee 😂😂 mbona unakua muongo muongo hadi unapinga vitu vinavyoonekana kwa macho.?
Naona imekuuma vilivyo. 🤣 🤣 🤣 Lakini at least umetoa ushamba, sasa umejua showroom ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…