Hata FIFA tumewazidi 🤣🤣🤣Kwenye suala la soka hawataki tena battle mana tumewazidi kila kitu, kuanzia club level mpaka national level, mpaka viwanja na kila kitu.
Ongezea our very own sio ya kuazima 🤣🤣🤣Tena "ZERO KILOMITA" 🤣🤣
Nipe 'city' Moja hapo Bongo kando na Darislum yenye inaweza karibia nusu ya Mombasa - both in economy and size.Viwanja vyote viko Naipori karibu karibu. Nchi ya city moja 🤣🤣🤣
Ni wapi nimetaja Embu kijana wa Tandale? Umekosa jibu ukaona upayuke?Hapo embu kuna barabara nzuri kweli?
Atakuweka na mjadala ya kijinga na kulazimisha mambo wakati hata yeye anajua hakuna. Wabishi wa kupindukia. Hata hiyo Dar saa hii imewacha Mombasa kidogo sanaNipe 'city' Moja hapo Bongo kando na Darislum yenye inaweza karibia nusu ya Mombasa - both in economy and size.
Eti first largest what? Punguza kuropokwa kijana, Kenya imekua na several freighters bigger than Boeing 767.Umesahau the first largest cargo freighter in the region 767 300F
Wacha upumbavu! Hamjawahi kuwa na ndege kubwa ya cargo zaidi ya B767 mlikuwa na B737 ambayo mli-convert pax to cargo use!Eti first largest what? Punguza kuropokwa kijana, Kenya imekua na several freighters bigger than Boeing 767.
Bongoslum is a one city country. 🤣 🤣 🤣 Mwanza their second largest city hata showroom ya Toyota hakuna, yet it's the most popular car brand in bongoslum.Atakuweka na mjadala ya kijinga na kulazimisha mambo wakati hata yeye anajua hakuna. Wabishi wa kupindukia. Hata hiyo Dar saa hii imewacha Mombasa midogo sanaView attachment 3194082View attachment 3194085see
Onyesha city in hotels ina 5 n 4 star hotels nyingi kama Zanzibar EA! BTW ina Toyota na Landrover showroom!Bongoslum is a one city country. 🤣 🤣 🤣 Mwanza their second largest city hata showroom ya Toyota hakuna, yet it's the most popular car brand in bongoslum.
Huu ndiyo unaitwa Mao Tsetung?gombani stadium 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 3194079
Sasa si useme bila kulia.Wacha upumbavu! Hamjawahi kuwa na ndege kubwa ya cargo zaidi ya B767 mlikuwa na B737 ambayo mli-convert pax to cargo use!
Kumbe umejua Mwanza is trash. 🤣 🤣 🤣Onyesha city in hotels ina 5 n 4 star hotels nyingi kama Zanzibar EA! BTW ina Toyota na Landrover showroom!
And that’s why both opening and Final games of AFCON will be held in Nairobi due to close proximity of the three stadiums. Actually most matches will be played in Kenya to prevent players’ jet lag.Viwanja vyote viko Naipori karibu karibu. Nchi ya city moja 🤣🤣🤣
Showroom gani hio ya Toyota na Land Rover ziko Zanzibar? Pengine zile showroom zenu bandia.Onyesha city in hotels ina 5 n 4 star hotels nyingi kama Zanzibar EA! BTW ina Toyota na Landrover showroom!
Unatupigia kelele hapa when only 3 people have electricity in those respective villages.Nyie wote mnaobishia Rural electric connectivity msubiri mabwana wenu wawaandike uzuri project ipo finaced by World Bank, EU, Tz Government, so mtazipata kwa Mabwana wenu tu.
Tukiwaambia mnakua wabishi.
Tambua TANESCO na REA ni vitu viwili tofauti, hata ukinunua umeme via TANESCO unakatwa hela ya REA,
TANESCO kwa 10k unapata uniti 28 za umeme ila REA ni 77.
Kama mna kijiji kisichounganishwa na umeme mtuletee tafadhali.
Mkumbuke gharama ya kuunga REA majumbani ni Tsh. 28,000
Ndio maana kuna member kasema yoyote aliyeshindwa kuunga umeme wa REA au kuwasaidia ndugu kuunga REA ni fala like elfu 28 tu watu washindwe na vijijini ndio hao wanawalisha nyie wehu
Zamani ilikua inakua ngumu kuunga TANESCO sababu unakuta unaambiwa ulipie nguzo etc gharama zinafika hadi 1million vijijini hawawezi, ila REA inaleta nguzo kijiji kizima kazi yako.kulipia Tsh 28,000 tu.
Ndio washindwe kufika 99%
View attachment 3194028
kumbe tunajenga na umekiri kua tunajenga so ulikua unasema wamekimbia site 😂😂😂Talanta Stadium.
Wakati wachawi wanajenga their mini stadium msituni, Talanta is being built close to a good neighborhood with a good view.
View attachment 3193982
so hzo ndege ni zenu au sio 😂😂😂😂Sasa si useme bila kulia.