Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is gold. You perfectly exposed and destroyed this guy man. It's starting to make sense now. Kwanza hapo kwa profile pic. Kumbuka huyo Obama is also half Kenyan so you can also guess why he hates Kenya so much.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Bongolalas remind me of when Koreans protested against Japan using Sanyo loudspeakersโ€ฆ ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
You guys are celebrating
In fact most comments say they shouldโ€™ve gotten a bigger one
Na nikiwaambia we are not the same hamskii
View attachment 3192097
Usipate tabu the government is in the process of renewing its executive fleet including the addition of a Gulf stream G700 and a Boeing 737 BBJ of which budget has been allocated for 737 BBJ in this financial year. The Gul stream G700 has already been delivered in December 2024.
 
hapa hatuongelei wivu tynaongelea mikopo ya asilimia 208 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unataka kunambia znz hawakusanyi kodi?? na sasa nimeskia kila mtalii anakuja znz analipia dola 40 ya bima
Mwinyi kafafanua so hutaki nini labda? Uliuliza miradi unaletewa hutaki Sasa wewe unataka kitu gani? ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ

Wivu
 
Magu alisimamisha miradi mingi sana ya majengo wakati ambapo real estate sector ilikuwa inakua kwa kasi sana. Alivunja bodi ya NHC akakaa almost 4 good years kabla hajateua bodi nyingine hivyo kuzorotesha shughuli na miradi mingi ya NHC. Pia akatoa maelekezo kwa taasisi za uma kuacha kuwekeza kwenye majengo bali wapeleke hela kwenye viwanda. Miradi mingi ilikufa mfano mradi wa Mara Capital pale namanga ilikuwa ijengwe business centre kubwa sana.
 
Mwinyi kafafanua so hutaki nini labda? Uliuliza miradi unaletewa hutaki Sasa wewe unataka kitu gani? ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ

Wivu
mkopo wa asilimia 208% alooo tuendelee kusifia tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na tuendelee kuwacheka wakenya kwa kweli
 
Angalau tumejitahidi mkuu, Rais wa sasa anatimiza ya mtangulizi wake, tofauti na wenzetu kila Rais anayekuja anaanza na yake, yn jamaa hawatokuja kuendelea kamwe.
 
So, you are now American man and not a black kunyan monkey ๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ