Daniel Abed Shauri
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 259
- 172
Mkuu ungetuonesha huo usafiri wao wa jiji"umenena mkuu
Kenya juice zenu jaman zinasukari ziko conc sana ni yale yanahitaji knowledge of dilution reff chemistry in volumetric analysis,Wakat nasoma Moshi ndio zilikuepo kipindi bado mdogo nowadays zimekauka madukani azam and mo products zimetawala ...bidhaa za kenya nyingi zinakosa soko na tumeshazisahu
Cathedral ni kama hizi hii IPO bukoba tz na kumezikwa cardinal rugwambwa wa kwanza mweusithat cathedral has several architectural awards my friend
Kwikwikwikwi naona Arusha imekugonga umeanza kuweka art work sasa, siyo?Upper hill...kill them allView attachment 654404
tulia nkuletee NakuruKwikwikwikwi naona Arusha imekugonga umeanza kuweka art work sasa, siyo?
Are you excusing failure? What happens to the excess. Households can only use so much... Ata cooperative societies hivi za collection..To lead in industrial milk is quite different from local organic milk production, Tanzania huwa tunapendelea maziwa natural kutoka zizini ambayo is not statistical taken like industrial products.
Tanzania mida ya jioni na asubuhi kwenye local shops unakuta maziwa fresh yanauzwa locally which is the most popular way of selling milk and bigger number of milk ltrs are sold out in that way compared to the packed milk which most of them are not organic and Tanzanians do not trust them.
nakuru number 4 eldoret 5 Flamingos in lake Nakuru national parkNaomba uniambie Nakuru ni City ya ngapi kwa uzuri Kenya.
Ya pili na Tatu ni city gani?nakuru number 4 eldoret 5 Flamingos in lake Nakuru national park
View attachment 654419
msa ,ksmYa pili na Tatu ni city gani?
Arusha
Nakuru can Compete with Moshi. Arusha ipo juu. Tafuta mji mwingine wa kushindana na Arusha. You can see photos.random nakuru pics ntatafuta zingine baadaeView attachment 654425 View attachment 654426 View attachment 654427 View attachment 654428 View attachment 654430 View attachment 654431 View attachment 654432 View attachment 654433 View attachment 654434 View attachment 654435 View attachment 654436 View attachment 654437 View attachment 654438 View attachment 654439 View attachment 654440 View attachment 654441