kumbe nimesahau hata marioo alikuwepo nairobi akichukua pesa zenu ππππHehehe, na ujue ziko mingi sana. Wanapenda tu kujidanganyaπ
Si ni matajiri?
Niliandika jana huenda Rais wao ni mtu mzuri ila changamoto ni ufala na ukabila hukunielewa. πππhii nchi ni kama laana ya dunia nzima
View attachment 3189884
Ila Teargas anatuambia lile ngija ngija linafika 350km/h kiroho safi yaani ukitoa hiyo inafata garimoshi ya mkenya hata mjapani haingii πππchina ni kiboko ya dunia hiiππππ»ππ»ππ»
View: https://x.com/tripinchina/status/1874158580107993561?s=46
nae ni shetani kama mashetani wengine kaka, ukitaka kuamini chunguza utajiri alionao baada ya kua rais unaeza sema ametengeza utajiri huo kwa miaka 300πNiliandika jana huenda Rais wao ni mtu mzuri ila changamoto ni ufala na ukabila hukunielewa. πππ
Tunawambia wana Roho nyeusi kama masizi.Niliandika jana huenda Rais wao ni mtu mzuri ila changamoto ni ufala na ukabila hukunielewa. πππ
Kila mtu ni mpigaji ni vile tu wengine hawajapata nafasi ya kupiga. πππnae ni shetani kama mashetani wengine kaka, ukitaka kuamini chunguza utajiri alionao baada ya kua rais unaeza sema ametengeza utajiri huo kwa miaka 300π
Unapenda ujinga sana π€£π€£,watu wanataka kujua kwann mafuta yanakuja na damage all the time nani yuko nyuma ya hzo damage za kuchelewesha meli kushusha mafuta yani meli ya mafuta inachukua up to 2 months kushusha mafuta wewe huogopi??π
sasa wenzetu hawaibi wao wanamaliza kila kitu yani anaiba mpaka anakaribia kujiiba na yeye ππππKila mtu ni mpigaji ni vile tu wengine hawajapata nafasi ya kupiga. πππ
Hata wewe ukipata nafasi ya kupiga huwezi acha.
mm nafkiri ww hua huelew nn naongea siku ukipata majibu let me know πππUnapenda ujinga sana π€£π€£,
Bei zinazidi kushuka unaendelea kutunga stori zisizo na msingi ππ
Dar ni workshop kubwa sana Kwa Sasa,kazi zinaendelea ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DERwE2mqrFw/?igsh=MTB3bW5jNnc1Z3dzcg==
Raisi wetu sio malaika kwamba yeye hakisei, tubamkosia sana tu, ila tunamkosia kwa heshima na utu.We know you donβt have the freedom to rank your President juu ya uwuoga.
Kitangulia sio kufika!!Zingatia Key word: Gas powered πͺ πͺ ππ
View: https://www.instagram.com/p/DERRpUXIK4J/?igsh=enRlY21lMHhhcWdq
Huwa sielewi ujinga kabisa π€£π€£mm nafkiri ww hua huelew nn naongea siku ukipata majibu let me know πππ