Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Idiot! What is mortage in the whole banking? I am talking of the Share of the whole banking sector!
 
Electrified SGR ndio nini wewe mshamba. Sema electric, na sitakufunza bure tena. 🀣🀣🀣 Kidogo hata mtaanza kutumia the word electrocuted just because you want to sound smart.
Ukiongea bro unajiona smart sana.
Reli inaweza ikawa electrified.
Hata MGR unaweza ukaifanyia electrification na ikaitwa electrified MGR.
Reli ya sgr ya Tanzania ni electrified SGR wewe unachobisha nini!?
Inamaana imeweka mifumo ya umeme ili kuweza kutumia locomotive za umeme.
Bila reli kufanyiwa electrification hizo electric train zingepita hapo juu!??
 
Kunyaland hukuti hii kitu, wangeshakula mpaka kwato, Tanzania watu wameridhika na wanaheshimu sheria, Kunyaland ni mshale mmoja the rest inakua history

Imagine huku ni bush interior close to national park lakini kuna nyamba nzuri tena zina umeme

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…