Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How much is the cost? 😬
 
Huo uwanja ni 7k seaters.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ any ways kuna uwanja wowote hapo ukunyani wenye hizo standards.? I dare you to post your number 1 stadia. πŸ˜‚πŸ˜‚
The day itafikia Dandora Stadium come we talk. I wanted to say Ulinzi stadium nikakumbuka Ulinzi haina upinzani Vumbistan.
 
Wakenya huwa ni wakubwa naturally, hata akiwa mdogo anaonekana mtu mzima, mwangalie Teargass au Nicxie au Yule aliyepiga picha na babaake akiwa mgonjwa NairobiWalker wanaonekana age imeenda japo wenyewe wanasema wao ni vijana. Hii ni kutokana na lishe duni utotoni mwao.
 
Acha ujinga. Hakuna Barabara rasmi inayopita chini ya SGR Viaduct.

Kuhusu Barabara kutokuwa na lami kabisa. Nairobi zipo kibao kabisa tena CBD. Mfano hiz...
View attachment 3184665View attachment 3184666
Aloo hizi ndizo habari yule mkenya Tony254 alisema wakiendelea kumzingua atatoa siri, now unazitoa wewe mkuu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…