Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wananifahamu vizuri humu ndani hawawezi kuthubutu.

Sio tuu amefuta hiyo Bali Serikali ya mama Imefuta zaidi ya tozo 370 kwenye biashara na Huduma mbalimbali.

View: https://www.instagram.com/reel/DDURPH-KlF_/?igsh=MXExM2c0MWR5ZzNsZA==

I hope wataliangazia swala la vat na corporate tax maana wenzetu washaongeza excise duty kwenye magari sisi tukishusha tu vat na corporate tax tutaenda kuwa na the cheapest products within East africa.
Hivi kinyerezi 3 vipi?
 
Ila wazuie na makampuni hasa ya production kulazimisha kulipwa kwenye akaunti zao za dollar kwa wale wanaofanya exportation.
Yaan tuzuie kabisa akaunti za dollar kama wenzetu China. Akaunti za usd ziwe kwa ajili ya malipo manunuzi tu tena iwe lazima kununua kupitia benk
Yeah
 
Mele Kalikimaka ( Merry Jolly Christmas) from Waikiki Beach Hawaii … to y’all friends and foes …. Aloha and much Love …
IMG_5412.jpeg
 
Wewe kenge,

Picha ya kwanza juu hapo bongo ni kwa mpiga chapa mkuu wa serikali au mitaa ya mkuki house. Hapo mchina anaendelea na ujenzi wa BRT na Mturuki anapitisha tunnel ya SGR cargo. Ujenzi una endelea hapo

Same kwa picha ya Pili iko na daraja la SGR kwa juu hapo ni Kamata area... Ujenzi wa ku link BRT kutoka njia ya Airport kuja Gerezani Kkoo unaendelea... Sasa kupiga picha construction site na kusema ndio uhalisia hapo unazingua.

Zamani tuli amini walimu sio waongo ila kwako mmmh... Ndio maana tunaendelea kutimua tu walimu kutoka kunyaland. Wana uzuzu mwingi sana kichwani.
Kama kawaida, huwezi kubali hata picha. Kwa bahati nzuri ni mimi niliyepiga hizo picha, sio za kutoa mtandaoni. Hapo ni Lindi street na Hakuna SGR project unaoendelea hapo. Your lies will not work here, na kama ninadanganya basi niletee picha ya the same street kwa sahii.
 
Sasa mbona unapost Barabara zinazojengwa... Ni Barabara gan hii inapita chini ya SGR Viaduct? Are you sure that is an official road?

Yaana umehangaika we...ukaenda ukapiga picha roads ambazo sio Rasmi. Tangu lini Chini ya SGR kukawa na official road....those cars labda walikuwa wanakwepa construction sites za Uhuru Road inayojengwa BRT na Nyerere road.

Meanwhile Nairobi roads. Hapa hakuna BRT construction and ni official roads

View attachment 3184433
😂😂 sasa mbona unaniuliza maswali as if I am the one that demarcated that road? Uliza uber driver wangu. We unaona a road under construction hapo? Kwa hivo umekubali hizo roads zenu hazijawai kupata lami alafu unakuja kucheka a road ambayo inekuwa damaged na construction just because iko Nairobi 😂😂 I like this.
Kama ilikuwa inajengwa basi tuletee update hapa kwa sababu maybe all of a sudden nilipoondoka wakaamua kujenga. Update me.
 
Acha ujinga. Hakuna Barabara rasmi inayopita chini ya SGR Viaduct.

Kuhusu Barabara kutokuwa na lami kabisa. Nairobi zipo kibao kabisa tena CBD. Mfano hiz...
PXL_20240411_145129488.jpg
PXL_20240411_135617588.jpg
 
😂😂 sasa mbona unaniuliza maswali as if I am the one that demarcated that road? Uliza uber driver wangu. We unaona a road under construction hapo? Kwa hivo umekubali hizo roads zenu hazijawai kupata lami alafu unakuja kucheka a road ambayo inekuwa damaged na construction just because iko Nairobi 😂😂 I like this.
Kama ilikuwa inajengwa basi tuletee update hapa kwa sababu maybe all of a sudden nilipoondoka wakaamua kujenga. Update me.
Too many words, action zero
 
Back
Top Bottom