Nimeishia Hapo uliposema Kilimani ina better horizontal infrastractureππ.Umeenda kwa story nyingi sasa unapost picha za Ubungo za highways na artery roads na projects ambazo already kila mtu kwa hii thread anazijua wakati mimi nimekuambika kitu kidogo sana kwamba hiyo barabara uliyopost ukasema ni mbovu iko better than 99% ya barabara za Dar CBD. Wacha nikuoneshe kwa picha.
Picha uliyopost ukasema barabara ni mbovu hii hapa.
Barabara za Dar CBD hizi
View attachment 3183827View attachment 3183828
So utasemaje hiyo barabara ya Kenya ni mbovu alafu hizo nilizopost za Dar CBD useme ni poa? Are thos the roads that you call world class?
Lastly, why do you keep on telling me to come to Dar? Why don't you come to Nairobi too considering you have a very skewed view of Nairobi saying ignorant stuff like Kilimani has poor horizontal infrastructure when Kilimani in fact has better horizotal infrastructure than ALL your neighborhoods in Dar. FYI, I have been to Dar before and don't worry, I shall come again but do also make a visit to Nairobi and view it in a non-biased way to stop making ignorant statements but If you can say that road you posted above is a bad road then it's quite clear you're more interested in scoring a point than saying the truth.
You know instanbul, you don't cross me as a vile guy like some of your brothers on this thread, you sound like a decent human but the problem with you is you hypocrisy. You can see something in Dar and say it's very nice and yet a similar or even better thing like that in Kenya you'll pots and say how poor quality it is. I don't think there's anyone in the world who'll say the road you posted is poor quality even people from the developed world and you know it.
Hii mikoa mitano yote imeenda kuunga foleni kupewa kilo ya unga? ππππ
Wao wenyewe wapo front, mama zao ndio wapo nyuma nyuma πππUnawezakuta mama zao hawa jamaa humu ndani huwa wanapanga foleni pia!
Kiuhalisia ni msajili wa hazina ndio kanunua hii plant ya Kunyaland through joint venture na Amsons
Hii ni uongo, uliishi Kilimani side gani?Wakati nakaa Nairobi niliishi kilimani....
Hii hata mbagala huikutiNimeishia Hapo uliposema Kilimani ina better horizontal infrastractureππ.
Ngoja nikwambie kitu. Wakati nakaa Nairobi niliishi kilimani....
Kilimani ya sasa inaelekea kufanana Roysambu au Pipeline huko.
The way you talk of Dar. Its a clear evidence kwamba hujawahi kanyaga Dar...kwa nini mnapenda kutell lies...yaan nyinyi from your president hadi kwa mama mboga ni lies lies...
Kwenye video yako ya YouTube kuhusu moshi ulionekana kabisa hukuwahi kanyaga Dar.
Halafu if you have been here for while...you may see me commenting on some bad side of Dar. Sijawahi sema hata siku moja kuwa Dar is very perfect...I know well my city...Nimeshauri kila mara hapa on how to improve Dar City Centre...from making it a Tourism hub hadi kuzuia kabisa Nduthi kuingia....
Lakini siwezi kuona ujinga nikakaa kimya...kama unaona hiyo barabara iko sawa then you still have a long way to go. Imagine wew ndo uwe mayor wa Nairobi city halafu upuuzie Barabara kama hiyo...ati iko sawa. Nairobi na GDP yenu ya $60 bigger than Uganda hamshindwi kutengeneza barabara mpya ziwe world class kwa hako kaCBD....
Back to kilimani...hii ndo kilimani sasa 2024
ππ Au hapa ni wap
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19xoydwTzL/?mibextid=LVqgqoT8rQke8goU
Haya inaoneka wewe unajua sana kuliko hao wa faransa tuambie kwanini eacop haikupita bandari ya mombasa nyie kunyaland mnajifanyaga muchnow kumbe mabumunda tu.Saa zingine ukiongea uongo jaribu kusema vitu vinavyoweza kuaminika. Unadhani the French hawana akili kama wewe waite nchi nyingine takataka wakati wanajua wana investments na bilateral relations na hiyo nchi? Nina uhakika hujawai attend seminar yoyote ndio maana uko clueless hivi.
Yes, Kilimani has better infrastructure than any neignborhood in Dar. You will pick a single lane in Kilimani that is destroyed mostly due to construction in that particular area and ignore the fact that 90% of roads in Kilimani are in paved condition while your high end neighborhoods have 90% earth roads. Take a video of someone driving in Kilimani and compare with someone driving in Masaki for instance which is your top neighborhood.Nimeishia Hapo uliposema Kilimani ina better horizontal infrastractureππ.
Ngoja nikwambie kitu. Wakati nakaa Nairobi niliishi kilimani....
Kilimani ya sasa inaelekea kufanana Roysambu au Pipeline huko.
At least I state facts when I speak about Dar. Sasa ukisema Kilimani ni kama Pipeline na unasema umefika Nairobi wewe tutakusemaje kuhusu your capacity to say the truth?The way you talk of Dar. Its a clear evidence kwamba hujawahi kanyaga Dar...kwa nini mnapenda kutell lies...yaan nyinyi from your president hadi kwa mama mboga ni lies lies...
Kwenye video yako ya YouTube kuhusu moshi ulionekana kabisa hukuwahi kanyaga Dar.
I haven't seen you comment negatively about Dar but even if you have, you're normally hypocritical when talking about Nairobi. The Rosslyn video that you responded with a very dusty road in sijui Masaki explains it all. Leo unapost a perfectly good city road in the Nairobi CBD unasema ni mbovu, A similar road in Dar ungeisifu hadi tuchoke.Halafu if you have been here for while...you may see me commenting on some bad side of Dar. Sijawahi sema hata siku moja kuwa Dar is very perfect...I know well my city...Nimeshauri kila mara hapa on how to improve Dar City Centre...from making it a Tourism hub hadi kuzuia kabisa Nduthi kuingia....
Nielezee nini kibaya na hiyo barabara wewe msomi wa barabara?Lakini siwezi kuona ujinga nikakaa kimya...kama unaona hiyo barabara iko sawa then you still have a long way to go. Imagine wew ndo uwe mayor wa Nairobi city halafu upuuzie Barabara kama hiyo...ati iko sawa. Nairobi na GDP yenu ya $60 bigger than Uganda hamshindwi kutengeneza barabara mpya ziwe world class kwa hako kaCBD....
This is a single lane in Kilimani. Meanwhile a neighborhood in Dar will look like this na bado mtaitetea.Back to kilimani...hii ndo kilimani sasa 2024
ππ Au hapa ni wap
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19xoydwTzL/?mibextid=LVqgqoT8rQke8goU
I just mentioned the projects U/C and under procurement.. not projects on the pipeline, nikiweka projects on pipeline mtahama huu uzi,Wasn't my comment in response to you mentioning projects under pipeline after I beat you 10-0 in existing projects? Ama Gani zingine unataka kuweka? Ama utaweka 1690km from Mtwara to Mwanza kama mwendawazimu mwenzako concordile 101 ?
Wacha uzushi wewe!Kiuhalisia ni msajili wa hazina ndio kanunua hii plant ya Kunyaland through joint venture na Amsons
Mbona hii barabara ya kawaida sana, you can mention any county na nikuoneshe barabara kama hii.ππI just mentioned the projects U/C and under procurement.. not projects on the pipeline, nikiweka projects on pipeline mtahama huu uzi,
Besides, 1690km za lami sio mchezo , glad you mentioned it.
Wale watu wa road trip will confess.
Kwa mfano, fikiria unadrive over 850km down this beautiful road with some mesmerizing landscapes,
All you need is some well maintained decent vehicle plus atleast 2 good full tanks.
Huko kunya the longest road trip is 400km+ with very pathetic unmaintainad road with too much potholes l, from the slumy township of Nairobi to mombasa mji wa mashoga.
View attachment 3183849
Which investments does France have in that godforsaken desert Kenya by name?,Saa zingine ukiongea uongo jaribu kusema vitu vinavyoweza kuaminika. Unadhani the French hawana akili kama wewe waite nchi nyingine takataka wakati wanajua wana investments na bilateral relations na hiyo nchi? Nina uhakika hujawai attend seminar yoyote ndio maana uko clueless hivi.
Wewe unakuanga mjinga sana. Is this a dual carriageway?I just mentioned the projects U/C and under procurement.. not projects on the pipeline, nikiweka projects on pipeline mtahama huu uzi,
Besides, 1690km za lami sio mchezo , glad you mentioned it.
Wale watu wa road trip will confess.
Kwa mfano, fikiria unadrive over 850km down this beautiful road with some mesmerizing landscapes,
All you need is some well maintained decent vehicle plus atleast 2 good full tanks.
Huko kunya the longest road trip is 400km+ with very pathetic unmaintainad road with too much potholes l, from the slumy township of Nairobi to mombasa mji wa mashoga.
View attachment 3183849
Unauliza swali alafu unajijibu mwenyewe na unajiona mjanja. π π πWhich investments does France have in that godforsaken desert Kenya by name?,
Maybe Total gas stations πππ
We all know outside the small Nairobi, hakuna kitu huko.Mbona hii barabara ya kawaida sana, you can mention any county na nikuoneshe barabara kama hii.ππ
1690 za lami kwani haziko Kenya ama? π π
Huwa mnachekesha sana. Ama niwakumbushe total lami Kenya vs Tanzania ni ngapi?
Usitoke kwenye mada bro. Mada ni dual carriageway.
Hapa Kenya unaweza toka Namanga hadi Moyale 940km kwa barabara kama hii halafu out of that 940km, about 200km itakuwa dual carriageway.
Kumbuka uliweka existing, nikaweka existing nikakupiga 10-0. Ukaweka under procurement, nikaweka under procurement nikakupiga 10-0.
gas stations is just a retail business kila mtu anawezafanya πππUnauliza swali alafu unajijibu mwenyewe na unajiona mjanja. π π π
Tafuta hela dogo. Unapata wapi jeuri ya kuchati humu na huna hela ?Wewe unakuanga mjinga sana. Is this a dual carriageway?
Kule KaskaziniWe all know outside the small Nairobi, hakuna kitu huko.
Kwamba kule garisa kuna barabara, Lamu ? Kule kaskazini hata mtoto wa miaka 5 anamiliki gobole?
Your Kenyan forces never step a foot because of banditry ?
3/4 of Kenya is very underdeveloped and we all know it.
Vip unataka uje ghetto ama vip?Hii ni uongo, uliishi Kilimani side gani?
Unajaribu kubadilisha mada from the real point kama ilivyo kawaida yenu. The point was, no diplomat or business person would call one country takataka in a seminar and it showed how much of a liar newcomer vumbistani is.gas stations is just a retail business kila mtu anawezafanya πππ