Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakumbuka mwenzako alimaliza kuangalia game ya Chelsea akapotea.
Haya, wacha nikutoe ujinga sasa.
Hizo picha ulizopost ni za Dege Eco Village. Hiyo sehemu haipo kwa region niliyohighlight. I stated clearly hiyo region iko South of Kigamboni na halina barabara za lami. Hiyo barabara ya Dege eco inaitwa Malindi road na inaishia hapa, haindi moja kwa moja hadi Southern end of Dar es Salaam. Tazama.



Hilo eneo la Geza Machinga lipo sehemu za North, halipo sehemu niliyohighligh.towards the south





 
Well i got you πŸ˜‚πŸ˜‚ so the battle is Posta vs the whole of Naipori. Una prove kwamba there is no single district in Naipori that can challenge Posta district. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Haya nyoosha mikono juu fanya kama unajikuna
Westlands pekee ikona ghorofa nyingi kuliko hio CBD yenu. Huna hata aibu.
 
Kwa hivyo according to you downtown haiko CBD, Central Police Station na Nairobi Central Railway station pia haziko CBD. 🀣 🀣 🀣 Ebu kujeni muone huyu fala. 🀣🀣🀣
Huyo ni mwenzako ndio kaleta hizo vipimo sio mimi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kichaa wewe mmoja wewe, yani ulete hizo takataka vs Posta ili ukuwe relevant.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo ni mwenzako ndio kaleta hizo vipimo sio mimi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kichaa wewe mmoja wewe, yani ulete hizo takataka vs Posta ili ukuwe relevant.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wacha kuwekeana lawama, kama huijui Nairobi, unakubali tu. Sasa mbona unajiaibisha. 🀣 🀣 🀣 Yani CBD yako inaanzia Uhuru Highway inaishia Moi Avenue. Enyewe wewe ni fala. 🀣 🀣 🀣
 
Wacha kuwekeana lawama, kama huijui Nairobi, unakubali tu. Sasa mbona unajiaibisha. 🀣 🀣 🀣 Yani CBD yako inaanzia Uhuru Highway inaishia Moi Avenue. Enyewe wewe ni fala. 🀣 🀣 🀣
Mbona unalia sasa.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaniletea vilio uchimvi.?
 
Bado nakucheka tu. 🀣 🀣 🀣 Umenifurahisha sana vile umedisplay ujinga.
Y
Untaka linganisha hizi takataka na posta.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ is this part of your CBD. πŸ‘‡πŸΎUganda typa shit. πŸ˜‚πŸ˜‚ this place does not qualify to be called a cbd bro. Cheki hizo buildings manzee
 
Y
Untaka linganisha hizi takataka na posta.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ is this part of your CBD. πŸ‘‡πŸΎView attachment 3182769Uganda typa shit. πŸ˜‚πŸ˜‚ this place does not qualify to be called a cbd bro. Cheki hizo buildings manzee
Picha ya kitambo sana. Where is parliament tower, CBK Pension towers hata upper hill hakuna Britam or UAP tower, this was shot like 15 or 20 years ago. Meanwhile, Dar is a slum CBD in 2020's Nyumba zimenyeshewa zikaoza. 🀣 🀣 🀣

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ picha ya 2020.? Nilijua ungeileta hiyo nilishajiandaa, na mbona umei edit hivyo .? Haionekani clear .? πŸ‘‡πŸΎfew small buildings utalinganisha na hii takataka za Uganda .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎhizi si ni nyumba za udongo kabisa.? Gorofa zA udongo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona sioni Expressway hapo? 🀣🀣🀣 This version of Nairobi does not exist today.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…