mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,493
- 6,901
Relationship ya Kenya na Bongo ni kama ile ya the Colony and the colonialistβ¦.its obvious which one they belong to β¦π€£π€£π€£π€£Ukipata any product from Bongoslum kwa hii shopping haul ya Kenya nafunga hii account. π€£ π€£ Nyinyi muendele tu kutuuzia raw materials, sisi tutawauzia finished goods kama kawaida.
View: https://www.youtube.com/watch?v=4mM-BreX44k
Mara nyingi maisha ya monthly budget yapo sana kwenye nchi zenye ugumu wa maisha na shida kubwa ya chakula kama Kenya, South Africa na nchi zingine ambazo makali ya capitalism yameshika hatam.Linganisha hiyo shopping na ya Yule mtanzania. Yule obviously didnβt have the power to buy in bulk thatβs why alikuwa anunua vitu vya kalongolongo ati Monthly budgetπ
Kwenda huko mjinga wewe, nyingi ni kutoka SA tena karibu zote ni kutoka South AfricaAll those Unilever products in your shelves are all from Kenya. Even the Colgate you are using is from Kenya. Most body lotions you are using in Tanzania are from Kenya. Even most Marcopolo buses in Tanzania are from Kenya.
Zote hizo hakuna inayotoka Kunyaland, sijawahi hata siku 1 kutumia Colgate made in Kunyaland
This Mbowe dude doesn't even possess an ounce of intellect. How does he rebuttal the statistically charged acknowledgement of head of state with hearsay from illiterate villagers?This video should be replayed at every CCM rally β¦.i wonder Wabongo walio hapa wanaumia wakiwa wapi β¦π€£π€£π€£π€£π€£
Huyo mganda kasema kenya ni pachafu. Alivuka border ya Namanga akaona tofauti
Soma comments...wenzako wakenya wanamkataa..We thought we had it worse, kumbe. Jiranis donβt want to admit that itβs tough, just because of patriotism
View: https://x.com/teyakevin/status/1868537804894204023?s=46
mbona azam juice na icecream husemi??π na wana mpaka branch zao mombasa kisumu na nairobiMore than 5 juice brands in your supermarket zimetoka Kenya. Mimi sijawai kuona juice ya bongo Kenya, hua naona Azam energy drink pekee.
Mtangazaje anasema uwanja una uwezo wa kubeba mashabiki 3500 π .Tanzania game kama sio ya Simba Vs Yanga hawaendi Stadium. This is FC Leopards Vs Sofapaka at Dandora Stadium.
View: https://x.com/Dollar__SM/status/1868351172740083805
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sisi tunacolonize East Africa...size yetu ni Singapore....all East Africans depend on us..
Nairobi capital city international bus Terminal.
View attachment 3178645
View attachment 3178646View attachment 3178647
Mimi sijawai kuona Azam juice na Ice cream kwa supermarket za Nairobi. Pengine zinauzwa kwa duka ndogo.mbona azam juice na icecream husemi??π na wana mpaka branch zao mombasa kisumu na nairobi
Alilipa kwa Mpesa?π π
Punguza kulia liaπMimi sijawai kuona Azam juice na Ice cream kwa supermarket za Nairobi. Pengine zinauzwa kwa duka ndogo.