Gap linapungua Au linaongezeka?okay nimekosa ya 2016...hii hapa ni biashara toka 2011 mpaka 2015
Kenya’s total exports to Uganda over the 2011-2015 period stood at $3.28 billion, followed by Tanzania ($1.98 billion), Rwanda ($734.93 million) and Burundi ($303.83 million). Exports to South Sudan, which was admitted to the EAC in March this year stood at $71 million.
Similarly Kenya imported the most goods from Uganda at Ksh81.57 billion ($815 million) in the same period, followed by Tanzania ($748.64 million) and Rwanda ($36.45 million).
Pwahahaha haya leta omba omba wa Kenya waliovuka border wakaingia Bongo...😀😀😀ukileta nakuheshimu...naona mko vizuri sana wabongo ila mnawauwa albino ili kutafta utajiri😀😀what do you have to say on that bro?Omba omba wapo hadi USA sembuse tz??? Hahahaha jinga wewe kumbe eehh
ukilinganisha na miaka ya hapo zamani gap inaongezeka....yaani our products zimejaa kwenu kote😀😀Gap linapungua Au linaongezeka?
Hata wakazi wa kibera nasi ni watu jamniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uandishi wako tu unaonyesha wazi wewe ni Mkazi wa Kibera kule Wanakoishi wakimbizi Raia
Wakenya halisi,
wewe si Mtanzania
Hivyo ficha Upumbavu wako
Bidhaa zenu ofcz sio mbaya but zingine but no esp juice mnazinguaukilinganisha na miaka ya hapo zamani gap inaongezeka....yaani our products zimejaa kwenu kote😀😀
nyie ndo mpo civilized sio? ila mnawauwa albino kwa mambo ya ushirikina...😀😀😀naona mpo civilized sana...bongolala wenzako wanaongoza kwa uchawi na uganga duniani...nashuku wewe hapo mchawi by profession😀😀kenya mpo civilized ???? Ukabila tu ni sifa ya mtu ambae hajawa civilized completelyyyyyy hahaahaha
Cha kwanza watanzania hatuna jadi ya kufatilia huyu omba omba wa wapi au kabila gan au katoka nchi gani kwasababu cio jadi yetu kufwatilia ujinga huo so cwez jua ombaomba wa kenya mpo wangapi afu cina mda wa kufwatilia jambo ka hilo. Pili mauaji ya albino yanahusika na ushirikina na hiyo ni sifa ya mtu binafsi coz hata kenya washirikina wapo bt cwez sema wakenya wote washirikina sababu ya jaluo moja imeua mtu kutaka utajiri...kifupi huwez generalize ushirikina ni tabia ya mtu na mtuPwahahaha haya leta omba omba wa Kenya waliovuka border wakaingia Bongo...😀😀😀ukileta nakuheshimu...naona mko vizuri sana wabongo ila mnawauwa albino ili kutafta utajiri😀😀what do you have to say on that bro?
juice zipi....delmonte juice ziko sawa sana..usije ukawa umekunywa juice aina moja kisha unasema juice za kenya zinazinguaBidhaa zenu ofcz sio mbaya but zingine but no esp juice mnazingua
washirikina wa dunia...hapo mmehitimu bro😀😀vipi kuhusu daktari wa Loliondo?😀😀Cha kwanza watanzania hatuna jadi ya kufatilia huyu omba omba wa wapi au kabila gan au katoka nchi gani kwasababu cio jadi yetu kufwatilia ujinga huo so cwez jua ombaomba wa kenya mpo wangapi afu cina mda wa kufwatilia jambo ka hilo. Pili mauaji ya albino yanahusika na ushirikina na hiyo ni sifa ya mtu binafsi coz hata kenya washirikina wapo bt cwez sema wakenya wote washirikina sababu ya jaluo moja imeua mtu kutaka utajiri...kifupi huwez generalize ushirikina ni tabia ya mtu na mtu
Bidhaa zenu nyingi ziko kask uku Pwani ni chache sana siunajua Dar kuna factory mobjuice zipi....delmonte juice ziko sawa sana..usije ukawa umekunywa juice aina moja kisha unasema juice za kenya zinazingua
Factory zipi hizo bro sijawahi ona😀😀Bidhaa zenu nyingi ziko kask uku Pwani ni chache sana siunajua Dar kuna factory mob
So loliondo uliona kuna ushirikina pale au uliona watu wanachoma tunguli ????nigga ur so dumb mbonA vtu vngne vya kujiongeza tuuu bra hahahahwashirikina wa dunia...hapo mmehitimu bro😀😀vipi kuhusu daktari wa Loliondo?😀😀
Umeanza ukuda again siunajua siwez izo battleFactory zipi hizo bro sijawahi ona😀😀
explain this to me bro😀😀Tumiaga akili muda mwingne hata kidogo tuu ...nmekwambia tz ya kwenye takwimu sio tz tunayoishi hujiulizi y mnaingiza hela yote hiyo ka si ni maskin ka usemavyo ???jiongeZe muda mwingine usijishushie heshima anko
nauliza tu swali bro...haya bas, niletee data za manufacturing tzUmeanza ukuda again siunajua siwez izo battle
haha ok what abt this bro?😀😀So loliondo uliona kuna ushirikina pale au uliona watu wanachoma tunguli ????nigga ur so dumb mbonA vtu vngne vya kujiongeza tuuu bra hahahah
Walimu wako walipata shida sana kukuelimisha we jamaa..natuma hongera zangu za dhati kwa walimu wa kenya kazi walofanya kukuelimisha atleast unajua kuandika walipata shida..explain this to me bro😀😀
Bidhaa zenu nyingi ziko kask uku Pwani ni chache sana siunajua Dar kuna factory mob
Wadada wa Nairobi wanavaa nguo fupi balaa lol [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]. Bongo huwezi kuta hiyo kitu
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Afu Nai mnakula mchele wa plastiki haki.ule mchele wenu wa Thailand sijui china sijaweza kuuweza. Uko tasteless. Kwa hili bongo tumepiga bao lol [emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] bkngo tunakula wali mtraamu balaaManeno ya slay queens wa nai achana nayo.....wale wa ..." oh my gosh aki I can't ongea kiswahili"....."I never somad kiswahili in school"
Kuna demu mmoja wa 254 kipindi flan nikiwa Moro kwenye shughul zangu za kitaaluma Nilikua nae pale basi ndio kujifanya anatema sana yai na kukandia wabongo hawajui Yai,Maneno ya slay queens wa nai achana nayo.....wale wa ..." oh my gosh aki I can't ongea kiswahili"....."I never somad kiswahili in school"