Your idiot President was killed by COVID-19. Watanzania wengi walikuwa wanaokotwa kwa barabara wakubwa wamekufa kama Mende.Toka lini mkenya akamiliki akili mkuu?
Watu waliouawa na police sababu ya curfew restrictions na njaa kutokana na lock down ni wengi kuliko hata wa covid propaganda
Huu upumbavu ni Kunyaland tu 😂😂😂
View: https://x.com/AJEnglish/status/1244222396162363392?t=AMHb78lv0nL-PNHv4udj4A&s=19
Says a man who eats prisoners meals.Baba level kaagiza chipsi mayai huko kenya, Yani Zege, angalia alicholetewa 😂😂😂👇🏾
View: https://youtu.be/g6DA84kuTEE?si=bhlmy0aRpy2ikl5o. ******* hata kupika hawajui.
Vipi mwezi mchanga.? Dishi limeyumba nini.? 😅Says a man who eats prisoners meals.
Kuwa na family ni achievement pia kwa namna moja au nyingine, unajua katika haya maisha kila mtu ako na malengo yake na priorities zake. But after all we all need to have families, bibi yangu (my grandma) always ananisisitiza kujenga familia kubwa kwasababu she believes familia ni kitu kizuri na ni msaada baadae, hasa ukishakua umefikwa na uzee..Do you agree that having a family is a great achievement the way game over is saying? I’m asking you be a I know you don’t have a family.
Now just give me your honest opinion.
Kuwa na family is not an outstanding achievement since everybody is capable of having one. For me I see having a family as a rite of passage where everyone has to pass through unless you want to practice celibacy.Kuwa na family ni achievement pia kwa namna moja au nyingine, unajua katika haya maisha kila mtu ako na malengo yake na priorities zake.
Wewe mbona usioe kama marriage is an achievement?😂😂Mimi binafsi bado sijaoa lakini ninae mtoto wangu and she’s 3 years old. unaweza muona kwa display picture hapo.
Jumatatu litakuwa kwenye 1960
Priorities bro 😎. Ila nitaoa tu, nitawaalika wana JF twende Tanga tukachukue chombo huko, 😂. Kidding.Wewe mbona usioe kama marriage is an achievement?😂😂
Acha nikutafute inbox, nikuulize kitu.Priorities bro 😎. Ila nitaoa tu, nitawaalika wana JF twende Tanga tukachukue chombo huko, 😂. Kidding.
Hii kitu itapewa mwarabu😂😂The project is already failed, what happened to elektrik SGara?😂😂😂
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1867457741826273640
But still suffering from covid19 effects!We are in 2024 idiot.
Unajua maana ya 'BACK UP' ? Walipanga siku nyingi kununuan za diesel hasa za mizigo. Bahati nzuri reli yetu unaweza kutumia hata treni ya diesel, yenu hamuwezi kutumia ya umeme. Endelea kuumia.Hii kitu itapewa mwarabu😂😂