Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia, Willy Paul alijiita Msafi kabla Wasafi kuwepo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli unaguswa wewe. Diamond ameanza kutumia hiyo wasafi hata kabla hajatoka kimziki. Hii hapa picha ya nyumbani kwao tandale Enzi hizo πŸ‘‡πŸΎunaweza kuona hizo kuta zilichorwa logo ya wasafi tangu kitambo hiyo, and guess what diamond ametoka kimziki 2008. Unasema willy paul kajiitamsafi kabla ya wasafi kuwepo.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kocho kweli we jipumbavu.
 
Wacha ujinga, ulichagua picha zinazokufurahisha ndiyo utume humu, kama mm nije huko slum city alafu nichague picha ikionesha ma slums tupu ndiyo nipost humu, kwa bahati mbaya hizo picha umepost hakuna slums kama kwenu, na kama unabisha niweke hapa video ikionesha ma slums ya Kenya wakati pax aki land at Jua Kali international airport.
 
Muite tu ***** wala haina shida, wanatumia nguvu nyingi kuwapaisha wasanii wao lkn nature inawakataa, hivi kweli leo hii tuongelee Mondi vs willy Paulo? Huu ni ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…