babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,468
- 36,126
Vitu vinaonekana ila wanajaribu kupindisha. πππKenya nzima now mnamuongelea Mondi, kweli nyie ni vichaa.
Mbona unajieleza sanaaa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£I really donβt give a ratβs a$$ about no Diamond platypus or Willy Paul. I donβt even know both of their songs man π
I have my own taste of music and even so, I donβt follow their social or personal lifestyles
Over 99% ya watanzania hatumjui will pall msilazimishe bifu.Ukitazama Wakenya wametofautiana kwa opinions ila Vumbistanis wote wanasema Willy Paul mbaya. Hili linaonyeshwa wagani Wana chuki.
Comment ya maumivu sana hii, I can feel your pain bro π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ati 20 million KSH make Bongo minds go round nβ round β¦ American pop star Taylor Swift just concluded her world tour that grossed $2.2 billion ( yes in dollars)β¦ halafu hawa majamas wanaruka kama Diamond ni Hollywood star β¦ nobody knows him except his fans in Africaβ¦ he ainβt a world superstar as Bongolalas suggestβ¦not even close β¦ only to his worshipers in Tandale β¦π€£π€£
Keshabadilisha mada π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nionyeshe show Moja Vumbistan ambayo mmelipa msanii hizo hela.
Double maumivuComment ya maumivu sana hii, I can feel your pain bro π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Actually sio wakeny wote Bali wale waganga njaa ndo wanakelele sana .Ni pale unapoona Wasanii wa Kenya wanapotumia huu mgogoro kutangaza events zao unabaki kujiuliza, kwani hii sector ipo fucked up kiasi gani? Wawe desperate namna hii kufikiri Furaha festival wataacha kulipa Diamond a business magnet walipe mtu kama Jessy?
View: https://youtu.be/yyXGavN6IRo?si=BgXZX9V5kn14ewTg
π€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈ
Ila wote ni wanazi na wanafiki kwa sababu walipaswa kuwaambia ukweli waganga njaa! Sasa mtu kama Joho anaongea upuuzi yet Baba anashinda kwa AU akimtumia Nyerere kunadi sera zake, mbona asitumie Jomo Kunyatta kama ni Kenya first maneno?A
Actually sio wakeny wote Bali wale waganga njaa ndo wanakelele sana .
Hata wale waliopiga kelele kwa diamond ni wale wa bei rahisi ila wale vip wanaojielewa waliondoka zao kwa kuona ni upumbavu tu.
Hata haya mavurugu ya kuwachukia watanzania ni wale wasiopenda kazi ila wale ambao wanajishughulisha mbona tuko nao na wanakuja kutuungisha mchele na kadhalika.
Mwanasiasa anacheza na upepo tu ila hili la diamond wamegawanyikaIla wote ni wanazi na wanafiki kwa sababu walipaswa kuwaambia ukweli waganga njaa! Sasa mtu kama Joho anaongea upuuzi yet Baba anashinda kwa AU akimtumia Nyerere kunadi sera zake, mbona asitumie Jomo Kunyatta kama ni Kenya first maneno?
Jaribu kuwajua vizuri mzee! Angalia mahojiano ya Bien ni yaleyale ya kuuma na kupuliza! Naye anataka level ya Diamond Platnumz! Watu wanatungiwa mashairi na Watanzania na wamevunja Sauti sol juzi! Wasanii wa Kenya ni lazy na wajinga!Mwanasiasa anacheza na upepo tu ila hili la diamond wamegawanyika
Those are not school buses, tafuta wajinga wenzako udanganye.Oh!!! Jobless bhana. Toka hapo kibera uone mambo yanavyoendelea kwenye nchi za maana.
Hadi wewe libaba lizee bado unafuatilia umbeya za Musicians? Kweli wewe ni mjingaJamani free advice mnapewa msije mkajilaumu baadae!
View attachment 3174248