Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe si unajifanya mwerevu … you can do the maths and find out how much is that in a single show.. ama you want me to spoon feed you every single detail… stop being lazy …😄😄
Eti ni kweli bieni alilipwa ksh 60,000
Yaan 60,000/20,000,000= 0.003 au 0.3% ya malipo ya diamond? Kumbe ndo maana ndugu zako wamepaniki
 
Eti ni kweli bieni alilipwa ksh 60,000
Yaan 60,000/20,000,000= 0.003 au 0.3% ya malipo ya diamond? Kumbe ndo maana ndugu zako wamepaniki
For you to hold that 60k at once is maybe once in three years. Ama utaomba picha utumiwe na WhatsApp ujaribu kutudanganya nayo tena?
 
Huyo ni America tuletee wa kenya aliyeingiza usd 150,000 per show
 
Ukitazama Wakenya wametofautiana kwa opinions ila Vumbistanis wote wanasema Willy Paul mbaya. Hili linaonyeshwa wagani Wana chuki.
Nyie ni washenzi,chuki zenu za kibaguzi zishatoka nje ya kenya,hamna mTZ atoshangaa mlichomfanyia diamond,kama mgeni mnamfanyia vile nyie wenyewe mnaishi vp!
 
Kenya nzima now mnamuongelea Mondi, kweli nyie ni vichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…