Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

inachekesha asee imagine anapewa mwingine na wewe ulishindwa kuqualify? so hauendi popote hahaha

Wakishindwa Host CHAN I don't know AFCON CAF kama watawazingatia kweli itakua blunder kubwa
Kumbuka afcon watakuwa kwenye uchaguzi na kama kawaida Yao hawajawahi tuliza mshono . Rwanda mjanja sana ,alivosikia tu kenya kapewa uandaji akaanza kujenga viwanja vyake fantastic akijua kabisa hizi mburusa zitachemka tu
 
Na anaitwa mama Magomeni pia ndoa yake ilifanyika bongo, kwa nini tufiche ukweli.
Kwahiyo
Tukianza philipe nyusi alisomea tz
Kagame kakaa tanzania
Museveni katokea tz na akamzalia mtoto wake wa kwanza tz
Almost Marais watatu kati ya nane wameanzia harakati zao tanzania
Kumbe hata mteule wa mozambique alikuwa mkuu wa wilaya Palma na kila weekend aanaenda kula Bata mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…