Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Unataka kuona barabara yenye foleni.? Kuliko express way.? ๐๐๐ kwani hapo juu ya express way kuna gari ngapi mkuu.?Nina uhakika nikikuuliza unionyeshe Barabara Moja tu Bongo yanye traffic nyingi kuliko hiyo ya expressway hutonionyesha.
Naona wanamlaumu diamond kama vile yeye ndo alipanga event, badala ya kuwalaumu organizers wao.Jana Diamond kawanyosha. Wasanii wa kenya wanalia hovyo kama watoto.
Pitia hii barua imetolewa na aliyeandaa show.Kutoroka ndio kutunyoosha? ๐ ๐
Nchi zote za Sadc zimelelewa na ๐น๐ฟMnapenda kujitafutia umuhimu. Saahii sasa mnataka kujifanya mna urafiki na mama na kabla ateuliwe hamkumuongelea. No wonder Wasauzi wanawafukuza. ๐ ๐
Haya ni maneno ya Vumbistanis ila ukienda kwa hizo nchi hazimtambui. Juzi Teargas kawaumbua jinsi wasauzi wanavyowachukulia na mko humu Kila siku kuwika eti Ndugu zenu.Nchi zote za Sadc zimelelewa na ๐น๐ฟ
Huyu falamanga mpaka anajiita Msafi kujiweka karibu na Wasafi aache wivu!Wakenya wamekuwa watumwa wa Tanzania ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
View: https://youtu.be/g8MRaFbG56c?si=Un13nZTs0vrjashE
Kwani hujaona watoto wanaokosa heshima kwa wazazi wao?๐Haya ni maneno ya Vumbistanis ila ukienda kwa hizo nchi hazimtambui. Juzi Teargas kawaumbua jinsi wasauzi wanavyowachukulia na mko humu Kila siku kuwika eti Ndugu zenu.
Kuna mzazi na Kuna mwendawazimu. Huu wenu ni wendawazimu.Kwani hujaona watoto wanaokosa heshima kwa wazazi wake?๐
Ambieni Diamond Kuna kitu kinaitwa protocol awache kulialia. Tukija huko kwenu tunafuata Sheria na itifaki zenu. Hatufanyi vitu kiubabeubabe kama tunavyotaka.Huyu falamanga mpaka anajiita Msafi kujiweka karibu na Wasafi aache wivu!
View: https://youtu.be/i41wS5BygCo
Wakati wa kupigania uhuru kusini mwa bara la Afrika nyie nyangโau mlikuwa wendawazimu haswa na sidhani kama ulikuwa umezaliwa.Kuna mzazi na Kuna mwendawazimu. Huu wenu ni wendawazimu.
Wakati wa kupigania uhuru kusini mwa bara la Afrika nyie nyangโau mlikuwa wendawazimu haswa na sidhani kama ulikuwa umezaliwa.
Ndiyo.Wewe ulipigana?
Huu ndio wendazimu nilikua naongelea.Ndiyo.
Umeuliza swali na nimekujibu ipasavyo. Wewe ndio mwendawazimu,; jiangalie sana kijana๐Huu ndio wendazimu nilikua naongelea.