Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


View: https://x.com/JamiiForums/status/1865387839963218068?t=bVa4IhVMrjYD61S_yP43EQ&s=19
My Take: Huu mradi wa Tasaf hauna faida kiuchumi zaidi ya kutajirisha maafisa na Wanasiasa.
Kabisa kaka. Yaani hamna kitu hapo. Unakuta mtu kutoka kayak maskini anapewa kwa mwezi elfu 70 na unakuta anaweza kaa hata miezi mitatu au minne asipate hiyo hela na akipata anayotumia kwenye kula. Huu mpango wao ni Bure kabisa. I wonder hata wale wanaowaoneshaga kwenye documentaries wanawezaje kuhadithia maendeleo yale!!
 
Which continental trophy was that? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mention them!
Bongolala, don't be too lazy. Cyprus is One of them kijana wa Tandale

Sasa swali ni je, Tanzania inaizidi Cyprus kimaendeleo just because Tanzania has electric train while Cyprus doesn't even have a railway line?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…