Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba kumiliki train ya umeme ni kigezo Cha maendeleo? Mitanganyika akili zenu zimeganda. Hivi, unamaanisha Tanzania imeendelea kuliko nchi nyingi za ulaya ambazo hazina train za umeme? Kuna haja gani kushabikia train ya umeme wakati nchi yako ndio inaongoza kwa umasikini ukanda huu?
 
Toka jaluo muambiwe pesa Yote ya kunyaland ipo homabay hata kuandamana hamtaki tenaa... Ile kubeba masufuria kichwani na kujaza mawe kwenye makoti mmeachaa...

Mmewatenga watu wa sentroo sio?
Ulikuwa unataka mnyamwezi ateuliwe?
 
Fool! Sio treni ya umeme bali high speed treni na SGR ndefu. Wew Kima kama ingekuwa swala jepesi mbona ynu inatumia mkaa?
 
Nchi gani ya ulaya haina treni ya umeme?
 
Rais wako akiona hii comment yako ataagiza uuwawe, yani mwenzio vitabu keshaviona vinasema Tanzania inaongoza kwa uchumi EA alafu wewe unasema vingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kuhusu treni ya umeme ni kweli kuwa na treni ya umeme ni maendeleo makubwa sana ambayo sio kila nchi inaweza kuwa nayo, maendeleo sio vijengo viwili vitatu ambavyo hata somalia vipo, so usitaje nchi za ulaya naongelea Tanzania na Kenya ambapo tz imeendelea kuliko Kenya cz hakuna kitu kipo Kenya na hakipo Tanzania ila kuna vingi vipo Tanzania huwezi kuviona East and central Africa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Eti Dodoma ni ya juzi? 😂😂😂
A town that has been in existence even before my forefathers were born!!
Kipi ambacho hujaelewa, au wivu tu unakusumbua baada ya kuona tunaijenga upya Dom alafu nyie mmebaki na Nairobi iliyojaa ma slums left right and center 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…