The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Siasa ujamaa ila uchumi ubebaritazama nchi nyingi ambazo misingi yake imeanza kwenye ujamaa hua haiyumbi ovyo ndio maana unaona hata china ni tishio duniani kwa sasa kwasababu ya misingi ya ujamaa iliowekwa na waasisi wake
wewe unafkiri hii amani ilioko tanzania bila ujamaa ungeikuta hii amani subutu yake πππππ
Mkuu kwa Sasa Kuna utilities wa viwanda vinajengwa , kuongezeka kwa mahitaji kwa kiwango cha 400mw ni kiwango kikubwa sana kwa mwaka mmoja . Hatuwezi kuruka,kila kitu kinaenda kwa hatua. Unaanzaje kuweka kiwandq cha kutengeneza magari wakati hata soko lako la ndani Halina uwezo wa kumiliki magari.ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi mzee
umeme unaozalishwa na nyerere dam alone hatuwez kuumaliza kwa sasa ndio maana tunahitaj kuuza sana umeme zambia, burundi, kenya na malawi etc
bado tunahitaji viwanda vikubwa kama vile car assembly plants like Audi, scania, benz etc, bado tunahitaji migodi yote tanzania iunganishwe na umeme, tunahitaj viwanda vya chuma, mbolea, oil refeneries etc
lazma tuweke sera nzuri za kikodi ili kushawishi wawekezaji wakubwa wamiminike nchini, sisi bado tuna sera mbovu sana za kikodi
Hoja haikuwa kuwa ukubwa ndo matumizi ya umeme Bali nimezungumzia expansion inayofanyika inaashiria kukua kwa soko lake, hivyo kuashiria kuendelea kuvutia wawekezaji wengi kwenye nyanja kadhaa kuwekeza kwa sababu ya uhakika wa soko.ππππππ yani yeye anafkiri kiwanda kikiwa kikubwa eti km 1 basi ndio kinatumia umeme mwingi, hajui kuna kiwanda kinaeza kua kidogo tu ila mitambo iliomo ndani ni kufuru
Vera akimrombokea Rayvanny!Nairobi imevamiwa na wasanii wa TZ
1. Chino Kid
2. Zuchu
3. Diamond
4. Rayvan
Nk.
Wakenya wanalalamika
View: https://youtu.be/qCD8-6QyCBA?si=cgM_FdMTZnaMEeao
Huyu hapa The Sunk Cost Fallacy 2ChoiceVariable alienda wapi?
Si ndiyo huyo huyo cost falla.ChoiceVariable alienda wapi?
OhkSi ndiyo huyo huyo cost falla.
Alafu Kuna ujenzi wa reli mpya kutoka Angola kuja Congo kuunga Zambia na Tanzania. Unaitwa "Corridor do Lobito" Phillip Mpango na maraisi wote walikutana Angola na Raisi wa Marekani Kwa ajili ya huo mradi. Mambo ni moto,π₯π₯π₯π₯alaf baadae useme mabeberu ni wazuri sana kuliko ujamaa ππππππ
uchumi gani na sasa wanaangukia pua walizoea kuiba rasilimali za watu na kuanzisha vita kila sehemu πππππSiasa ujamaa ila uchumi ubebari
still bado 2115 MW za julius nyerere dam alone hatuzimalizi kaka huo ndio ukweli ndio maana tunataka kuwauzia majirani umeme ili usipotee bureMkuu kwa Sasa Kuna utilities wa viwanda vinajengwa , kuongezeka kwa mahitaji kwa kiwango cha 400mw ni kiwango kikubwa sana kwa mwaka mmoja . Hatuwezi kuruka,kila kitu kinaenda kwa hatua. Unaanzaje kuweka kiwandq cha kutengeneza magari wakati hata soko lako la ndani Halina uwezo wa kumiliki magari.
Kuna viwanda vingi sana ambavyo ni mwokozi kwa mwananch wa kawaida kuliko hivyo vya magari .
Nimewaambia kuna huyu katokea UTOPIA ona picha zake anazoweka sasa.ππ Hio Arusha airport yenu inahandle passengers Mia Mbili utalinganisha aje na Kisumu. Doing over 500,000 passengers annually. And it's the 3rd busiest in Kenya kumaanisha JKIA inahandle passengers wengi kuliko Airport zote Tanzania combined
View attachment 3170538View attachment 3170539
akizidiwa id moja hubadilsha id nyingineππHuyu hapa The Sunk Cost Fallacy 2
Mzee si kwamba hayupo updated ni kuwa propaganda imeingia haamini kuna kizuri only kibaya. So akigoogle kizuri anakana.Mmemuona huyu kichaa? Yani hana taarifa kwamba Arusha kuna uwanja mpya, kinachowauwa wakenya ni lack of information, hawapo up to date kabisa wakenya na ndiyo maana wana njaa mpaka leo since uhuru.
unafkiri kwann baadhi ya viwanda vya magari vinakimbilia kenya na sio tanzania unajua sababu?? hata rwanda anatushinda alaf tunajisifu hapa sisi ndio tunaongoza kwa magari ukanda huuππMkuu kwa Sasa Kuna utilities wa viwanda vinajengwa , kuongezeka kwa mahitaji kwa kiwango cha 400mw ni kiwango kikubwa sana kwa mwaka mmoja . Hatuwezi kuruka,kila kitu kinaenda kwa hatua. Unaanzaje kuweka kiwandq cha kutengeneza magari wakati hata soko lako la ndani Halina uwezo wa kumiliki magari.
Kuna viwanda vingi sana ambavyo ni mwokozi kwa mwananch wa kawaida kuliko hivyo vya magari .
Unajifanya kushtuka nini?Kwamba Mkopo wa kutunza misitu? π³π³ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DDPc4XBNB-4/?igsh=MTNnb3hzNjJjbWMxcQ==
yes its true tunahitaj viwanda vipanuliwe kuongeza uzalishaji but bado tunahitaji wake up call zaidi kuna mambo mengi sana tunahitaj kuboresha, tunahitaj kua east africa power house lazma tuwe na viwanda vikubwa sana ili kufanikisha hilo nje ya hapo tutabakia kusifiana tuHoja haikuwa kuwa ukubwa ndo matumizi ya umeme Bali nimezungumzia expansion inayofanyika inaashiria kukua kwa soko lake, hivyo kuashiria kuendelea kuvutia wawekezaji wengi kwenye nyanja kadhaa kuwekeza kwa sababu ya uhakika wa soko.
Kumbuka huyo goodwill amefunga viwanda vyake vya mozambique kama sabuni na kuhamishia nguvu kubwa Tanzania ,