Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania lags behind in Everything, ingekuwa you put your money in what you say saa hii hamngekuwa kwenye Kundu la LDC.
Dar es salaam yenyewe inakula infrastructure za 1bn dollars as we speak ingekuwa majengo ya high rises tungejenga mangapi? Lakini kupanga ni kuchagua hatuwezi tukajenga magorofa marefu halafu hapo chini barabara ya tope kama huko kwenu 😁🀣🀣🀣
 
ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi mzee

umeme unaozalishwa na nyerere dam alone hatuwez kuumaliza kwa sasa ndio maana tunahitaj kuuza sana umeme zambia, burundi, kenya na malawi etc

bado tunahitaji viwanda vikubwa kama vile car assembly plants like Audi, scania, benz etc, bado tunahitaji migodi yote tanzania iunganishwe na umeme, tunahitaj viwanda vya chuma, mbolea, oil refeneries etc

lazma tuweke sera nzuri za kikodi ili kushawishi wawekezaji wakubwa wamiminike nchini, sisi bado tuna sera mbovu sana za kikodi
 
Eti β€œukubwa wa pua sio wingi wa makamasi” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hii statement mara ya mwisho kuiskia nilikua mdogo sana.
 
Eti β€œukubwa wa pua sio wingi wa makamasi” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hii statement mara ya mwisho kuiskia nilikua mdogo sana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani yeye anafkiri kiwanda kikiwa kikubwa eti km 1 basi ndio kinatumia umeme mwingi, hajui kuna kiwanda kinaeza kua kidogo tu ila mitambo iliomo ndani ni kufuru
 
History sio dogma
tazama nchi nyingi ambazo misingi yake imeanza kwenye ujamaa hua haiyumbi ovyo ndio maana unaona hata china ni tishio duniani kwa sasa kwasababu ya misingi ya ujamaa iliowekwa na waasisi wake

wewe unafkiri hii amani ilioko tanzania bila ujamaa ungeikuta hii amani subutu yake πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siasa ujamaa ila uchumi ubebari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…