Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JKIA landing kwenye mbuga/ forest
 
You just proved my point .. 30% of it is not Tanzanian …at least now I hope you accept learning English is not a bad thing either coz you guys act like knowing proper English is weird or something…or like you own Swahili trademark…Swahili originated from Kenya...Otherwise you can keep your Swahili sanifu .. we don’t care as our Swahili is good enough for us…..
 
There is an old school Snoop Dogg hit that goes like…. Every city I go, I see the same whores….🤣…. Now remix that for Bongo … Every city I go , I see the same Uswazi …🤣🤣🤣…… so sorry… switching goal posts to Dodoma won’t help you escape same uswaziland fate…😄
 
Sio.Snoop ni 2pac wewe mbulula!
 
Saivi wajanja wamenza kusanuka kwamba wanadanganywa kuwa wanaongoza East Africa kumbe ni uongo tupu wamestuka sio poa MORARA anawapa za uso ndugu zake
Inabidi tumpe tour ya airports Tanzania, aje bara pia aje atembelee Msalato, Kilimanjaro, Bukoba, Arusha, Mwanza na Songwe airports then Iringa, Tabora, Shinyanga, Musoma, Kigoma, Mpanda, Sumbawanga, Mtwara na Lindi esp. zitakapokamilika!
 
Hiki kimbelembele cha Kundustans huwa Tanzania pekee in the EA region hukiweza! Nakumbuka kipindi cha kugombania bomba la Mafuta la Uganda mawaziri wa Kundustan wakina Peter Keter walikuja Tanga kama muendelezo wa fitna za Kenyatta Paris wenyewe wakiziita shuttle diplomacy in trying to win back the project!

Kilichowatokea walibaki wakilalamika the whole month!



Kwanza walivyotua na chopper wakaambiwa wame-land bila kibali na passport zao zikawa-confiscated immediately! Wakashikiliwa mpaka delegation ya Uganda ilipomaliza kilichowaleta Tanga! Museveni is letting me down!


View: https://youtu.be/UrBkAg_GNgE?si=RA8iYjFzfWX0qo1j
This is not enough…

View: https://youtu.be/mMQ6duTjoXM?si=owrJm6x7AWujhyve

BTW kuna hii issue pia!

View: https://youtu.be/J0GN0VG4XqI?si=yJwyzUIDhXJF0bO-
 
View attachment 3167347
Good Afrernoon from Julius Nyerere International Airport. Home Sweet Home ❤️View attachment 3167350
Kuna hotel moja nilipata kukaa kwa siku chache nearby O.R Tambo miaka hiyo, kitu kimojawapo kilichonivutia jamaa kila mti uliopo eneo lao una tag, na hiyo tag ina jina la mti wenyewe kisayansi na kiingereza, mandhari yake ilikuwa ni nzuri sana, ilinichukua muda kusoma mti baada ya mti, wish tunge-adopt this kwenye maeneo yetu muhimu, mwishoni lazima uwe very calm nature hutibu mioyo, nafsi mwili na akili.
 
Botanical Garden ya Dar city Centre wangeanza nayo
 
Ona unavyozidi kuboronga😂😂😂😂.
Toka lini kiswahili kikaanzia Kenya !?
Kiswahili mali ya pwani ya Afrika mashariki hususan pwani ya Tanzania bara.
We baki kusoma Kiingereza kiswahili huku achana nako.
Lugha hukua na kuongeza misamiati,hiyo 30% ya misamiati ya kigeni kutoholewa kuwa kiswahili haimaanishi kiswahili ni lugha ya kigeni.
 
Kiswahili 70% ni kimijikenda wanaoishi Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…