ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,322
- 89,731
Incompetence.Juzi nimepita pale Tanzanite Bridge, vyuma vya kingo za baharini zimenyofolewa si mchezo, imebidi wafunge kamba na ishara za hatari, sasa lile daraja lina camera, inawezekanaje mtu anakuja ananyofoa vyuma anasepa na hakuna mtu kakamatwa? Zile camera za kazi gani pale? Au mpaka mtu apandikize bomu pale ndio tustuke? Hili na hili la treni linatia hasira sana.
Tunataka kuwa kama Kenya sasa, mradi unakuwa mpya kwa mwezi mmoja tu, mwezi unaofuata ushazeeka.Kuna ujinga mwingi kwenye kutunza miundombinu hii nchi.
Kabsaa ndio maana alipoondolewa CEO Matindi nimeona sawa ila sina uhakika na replacement yake haina track record! Actually 50 PAX less than 40% walishuka Mombasa! Mwingine ni Kadogosa anapaswa kutolewa TRC pia!Geza Ulole Tanzania Kuna sehemu tunafeli huko kwenye biashara, haiwezi Kampuni za ndege ziwe na direct flights Kundustan wakati Abiria over 60% ni wanakuja Tanzania.
Mtu aende Kundustan Kwa kipi hasa? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DB_lQH3sY6m/?igsh=MTJocXM0cm9tbzNibg==View attachment 3161053View attachment 3161054
Kuna ajari ilitokea pale. Kama unakumbuka tuhuma za SG wa chama fulani gari kupata ajari pale likiwa linaendeshwa na kimada mpaka akaondoka kwenye u SG.Ha ha ha sio hivyo. Zile ni barrier zilizogongwa wanazibadili. Wameondoa zilizopinda wanasubiri kuweka mpya. Pia njia ya watembea kwa miguu kingo zake baadhi zimeliwa na kutu wameziondoa wanaleta nyingine. Kawaida kazi za serikali ziko slow,
Noted mkuu.Ha ha ha sio hivyo. Zile ni barrier zilizogongwa wanazibadili. Wameondoa zilizopinda wanasubiri kuweka mpya. Pia njia ya watembea kwa miguu kingo zake baadhi zimeliwa na kutu wameziondoa wanaleta nyingine. Kawaida kazi za serikali ziko slow,
Acha tu. Alafu kuna watu wanachekea eti waachwe mara machinga.Tunataka kuwa kama Kenya sasa, mradi unakuwa mpya kwa mwezi mmoja tu, mwezi unaofuata ushazeeka.
So Machinga wamehamia darajani? Kwani Upuuzi wa Magufuli bado Unaendelea? Juzi ajali ya kuporomoka jengo kariakoo waokoaji wameshindwa kupita!Acha tu. Alafu kuna watu wanachekea eti waachwe mara machinga.
Yaaani billion 300 zinatumika kuweka mradi jitu linakuja na vijarida vya kanisa uchwara anazungushia nguzo mpaka haitamaniki tena kupiga picha kuonesha world class infrastructure.
Kuna mwingine anavunja fensi akabandike nguzo ya ndani alafu watu wanaona poa tu.
Side walk ni za pedestrian zinaupa mji hadhi nzuri, kujaza wamachinga na kuruhusu bodaboda kuendeshapo ni ujinga sana.
Ulaya hatufiki kwa hali hii check hata India ina uchumi sijui ya Tatu Duniani ila ukienda sasa asee.
Kimsingi tuna viongozi don't care. Mfano pale Mbezi mwisho... interchange nzr kabisa lakin kumejazwa mabanda ya machinga sio poa.Acha tu. Alafu kuna watu wanachekea eti waachwe mara machinga.
Yaaani billion 300 zinatumika kuweka mradi jitu linakuja na vijarida vya kanisa uchwara anazungushia nguzo mpaka haitamaniki tena kupiga picha kuonesha world class infrastructure.
Kuna mwingine anavunja fensi akabandike nguzo ya ndani alafu watu wanaona poa tu.
Side walk ni za pedestrian zinaupa mji hadhi nzuri, kujaza wamachinga na kuruhusu bodaboda kuendeshapo ni ujinga sana.
Ulaya hatufiki kwa hali hii check hata India ina uchumi sijui ya Tatu Duniani ila ukienda sasa asee.
Jengo lako linafanana na TBS Test house UbungoI & M Bank Parklands, Nairobi
View attachment 3161327
Katazame zile overpass za Mbezi luis...mashinga wamevamia yoteSo Machinga wamehamia darajani? Kwani Upuuzi wa Magufuli bado Unaendelea? Juzi ajali ya kuporomoka jengo kariakoo waokoaji wameshindwa kupita!