Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni ya kubebea small goods. Huwezi ukabeba mzigo mzito wa madini.
Natumaini mtaendelea kubeba mahindi na ndizi kutoka Uganda.
Goods gani mnataka kubeba?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Are you forgetting Mombasa Port alone handles more cargo than all Tanzanian ports combined?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata border ya Tanzania ndio hajaifikaπŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa watu huwa na projection sana. Ukiona mVumbistan anaongelea sana jambo Kila mara, jua ana upungufu kwa hilo jambo analoongelea. Inferiority complex tupu.
 
Zanzibar has crossed 2 mln mark and Kilimanjaro airport has crossed 1 mln mark for passengers!
Huyo msenge bado ana vitakwimu vya zamani ili ajiliwaze, iko wazi kabisa watalii wote kwa sasa over 90% wanakuja Tanzania percentage inayobakia ndiyo wanagawana Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi.
 
Goods gani mnataka kubeba?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Are you forgetting Mombasa Port alone handles more cargo than all Tanzanian ports combined?πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe utajulia wapi upo kibera unakunywa chang'aa.

Aspect25-Tonne Axle35-Tonne Axle
Freight VolumeModerate freight volumes per tripHigh freight volumes per trip
Type of GoodsGeneral goods, containerized cargo, consumer goodsHeavy goods, bulk cargo (minerals, coal, steel)
Commodity SuitabilitySuitable for lighter commodities like textiles, electronics, and agricultural productsIdeal for heavy commodities like iron ore, cement, and raw materials
Bulk Goods CapacityLimited bulk goods capacityHigh bulk goods capacity, efficient for mining output
Containerized GoodsCommonly used for containerized shippingLess common, but can be adapted for containerized bulk goods
 
Hebu tupe axle load ya sgr yenu alafu tuambie na yetu ni ngapi ili tuone ujinga wako ulipojificha🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Huyo msenge bado ana vitakwimu vya zamani ili ajiliwaze, iko wazi kabisa watalii wote kwa sasa over 90% wanakuja Tanzania percentage inayobakia ndiyo wanagawana Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi.
Unasahau 80% of Tanzanian tourists are Kenyans?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ebu niambie ni goods gani mnataka kubeba saa hii that hamjawaibeba beforeπŸ˜‚πŸ˜‚.

Let me show you how your ports performed last year alafu uniambie hizo goods mnataka kutoa wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Dar Port did 22M cargo handling compared to Mombasa’s 38MπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Mko na 10,000km of paved roadsπŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 3157638
Ila we jamaa ni kilaza na ni mpumbavu wa kufa mtu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hizi takwimu mbona zinakuumbua sasa.? Wewe umedai ni 10k km .? πŸ˜‚πŸ˜‚ haya heb tuone ni hivyo.? Jedwali hili hapa. Takwimu za 2021 ndio zimeeleza idadi ya barabara zote zinazomilikiwa na Tanroads all around the country.

2021 statistics (barabara za lami)
Barabara kuu zimatajwa = 9,058
Barabara za mikoa = 2,228
Barabara zinazounganisha wilaya na miji mikuu = 2,274

Je ni sawa na 10k km of roads accorfing to this poor boy Teargas .? πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya njoo kwene hesabu chukua 9,058+2,228+2,274= 13,560km of roads.

Mind you, hizi ni statistics za Tanroads tu. Tena ni za mwaka 2021 huko.
 
Data za serikali ya Tanzania za 2023 inasema Tanzania nzima only have 10,000km of paved roadsπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi mbona wanijenga kuanzia Malaba border? Ama hapo Malaba ni border ya Uganda na Tanzania?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Yani wanaanzia malaba na bado jamaa zinabisha eti wataunganisha kwao.πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawa majamaa bana. Hawa wanaweza kana mama zao ili washinde mjadala.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo unaishi kwenye image nation 🀣 🀣 🀣 🀣
Kwa sasa Tanzania imeamua kuwekeza kwenye Mining.

Kuna Nickel Mining - Unajua matumizi yake? Kuna cobalt kutoka Burundi. Kuna Copper kutoka DRC and so many.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…