BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,051
- 2,548
Shida huyu contractor ni super lazy.Uganda has broken ground for their SGR construction. Starting point Malaba border with Kenya😂😂. I can see their SGR will also support double stacking just like Kenyan, ya Tanzania haiwezi double stacking.
ichoboy01
View: https://x.com/RailwaysUganda/status/1859511196988084547
Hata border ya Tanzania ndio hajaifika😂😂Ukiongea hivi mtu anaweza Dhani umewai tembea nje ya Tanzania.😂
At least we will get time to reach Malaba before they could reach Kampala😂😂😂Shida huyu contractor ni super lazy.
Bridge across river Nile atajenga na 4yrs!!!
Zanzibar has crossed 2 mln mark and Kilimanjaro airport has crossed 1 mln mark for passengers!Zanzibar PAX hazifiki 2M according to your government 😂😂
JNIA 2.5M
Zanzibar 1.9M
Kilimanjaro 787k
Mwanza 314k
Arusha 314k
Domestic travelers =3.8M😂😂
View attachment 3157635
Mzee usipende kuwaita watu wajinga wakati hujafanya research yoyote. Hiyo ni kuonesha namna unavyoniogopa. 🤣 🤣 👇 👇 👇. Mimi namwaga data tu.
According to you, sindio?😂😂😂Zanzibar has crossed 2 mln mark and Kilimanjaro airport has crossed 1 mln mark for passengers!
Fanya utafiti kwanza kijana siyo kuanza kuni attack tu bila sababu yoyote 🤣🤣🤣👇👇
Key word 25 tonne axle load 🤣 🤣 🤣 🤣I’m really happy for Uganda. They have adopted all the features of Kenyan SGR.
View: https://x.com/RailwaysUganda/status/1859527646159212998
Nyinyi ni wajinga kiasi gani? Uganda ataunganishaje electric powered and continuous welded sgr na Fossil diesel jointed sgr.Shida huyu contractor ni super lazy.
Bridge across river Nile atajenga na 4yrs!!!
Kila siku nawaambia huyo ni kichaa, hapo anaona kabisa Uganda kafuata feature zote za sgr Tanzania mpaka anayetengeneza, lkn bado anapindisha ukweli ili kujifariji, atakufa mapema sn uyo jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Key word 25 tonne axle load 🤣 🤣 🤣 🤣
Yes, ndio maana nikawaambia they have adopted all the specifications of Kenyan SGR. Ama unasahau our SGR pia ni 25 tonnes axle load?😂😂Key word 25 tonne axle load 🤣 🤣 🤣 🤣
Watchman si nadhani uliniblock? Kumbe bado unafuatilia comments zangu kisrisiri? Indeed you can’t escape my shadows😂😂Kila siku nawaambia huyo ni kichaa, hapo anaona kabisa Uganda kafuata feature zote za sgr Tanzania mpaka anayetengeneza, lkn bado anapindisha ukweli ili kujifariji, atakufa mapema sn uyo jamaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Basi mbona wanijenga kuanzia Malaba border? Ama hapo Malaba ni border ya Uganda na Tanzania?😂😂🤣Nyinyi ni wajinga kiasi gani? Uganda ataunganishaje electric powered and continuous welded sgr na Fossil diesel jointed sgr.
Hiyo ni ya kubebea small goods. Huwezi ukabeba mzigo mzito wa madini.Yes, ndio maana nikawaambia they have adopted all the specifications of Kenyan SGR. Ama unasahau our SGR pia ni 25 tonnes axle load?😂😂
Usilinganishe SGR yenye Iko focused kwa mizigo na SGR Iko focused kwa abiria. SGR ya Kenya for every 1 train ya abiria inayoondoka Mombasa kuelekea Nairobi, kuna treni kama tatu au zaidi za mizigo zinazoondoka. SGR ya Kenya ilianza kubeba mizigo kabla ibebe abiria. Kwa hivo ukihesabu number ya abiria hapo Vumbistan alafu uconclude train yenu ni more successful utakuwa unajidanganya.Mizigo na sisi ndio tunaanza February 2025 kuwa mpole tutarudi hapa kuhabarisha