Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toka hapo uzuru Tanzania ujifunze, usijifungie kibra tu.
Prove to me using evidence from your ministry of roads that Tanzania has tarmack roads that inaezafika hata 15,000km. Nimekaa pale Nangoja bwana Baboonman. Unaongea hapa na hata passport ndio huna😂😂
 
That TUI Fly Flight dropped 305 PAX at Zanzibar meaning around 50 did the same in Mombasa! AAKIA received over 2 mln PAX while Mombasa airport is not up to a million PAX!


View: https://x.com/akibaru/status/1204734142262521857

View: https://youtu.be/-mGiRI6SdA0?si=s8xrHQ2BpdImrnMV
 
Automobile production, ICT, tarmack roads, Health, Economy, Aviation, Manufacturing etc.
Economy gani?
Tarmack Roads unaizidije nchi ambayo ni mara mbili yako na inafikika kila mkoa wilaya na Rami?
Health gani? Wakati government ni hohe hahe?
Aviation gani? Uwanja unavuja kila kukicha?
Shirika lipo na ndege zenu 3 chakavu zilizobaki chini ya KLM?

Manufacturing gani? Ya kuchonga malori na kufunga nati aka Garage?

Automobile zipi mnaproduce hapo ukunyani au BLOW JOB -50?

ICT gani wakati serikali wanabandika matokeo mnaamka eti juzi?
 
Prove to me using evidence from your ministry of roads that Tanzania has tarmack roads that inaezafika hata 15,000km. Nimekaa pale Nangoja bwana Baboonman. Unaongea hapa na hata passport ndio huna😂😂
Toka kibera hapo utembee wewe wacha upunguani, ni umaskini na ushamba ndio unaokusumbua wewe, wala sikulaumu.
 
Ongeza statistics za mizigo ndio uone ulivyo fala.
Huyu keshapagawa wallahi, sasa sisi stats za mizigo zinatuhusu nn wakati bado hatujaanza, hivi unadhani tukianza kusafirisha mizigo mtatukaribia hata robo? I bet even your businessmen will start using central corridor instead of northern corridor inayowapotezea muda mwingi njiani, mtu ataona ni bora atumie bandari ya salama aufikishe mzigo wake mwanza kwa bei nafuu mara mbili ya bei anayopigwa kwenye yule jongoo, mzigo wake ukitoka hapo unaingizwa kwenye Mv Mwanza Hapa kazi tu mpaka Kisumu all the way to Nairobi faster.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…