Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbuzi wewe USA anadaiwa karibu uchumi wake wote na Saudi Arabia.
 
ichoboy01 hater atanuna 😆😆

Nasubiria maelezo ya Tume maana nimemsikia Rais hapo akisema haipaswi jambo Hilo kujirudia Kwa uzembe na pia kama Tume itapendekeza majengo mabovu kuvunjwa watafanya hivyo.
Kwanini hili tukio la ghorofa kuanguka imekuwa national tragedy kwetu ila kwa jirani zikianguka si national tragedy? Embu mnijuze tofauti ni nini hapo?
 
Kuwa na akili before you post anything. Whatever you have shared is the value of all money in circulation in Tanzania for the whole year while ya Kenya is only the money outside banks in a month.
Value of all money in circulation in Tanzania was 33 Trillion in September 2024.
 
Kuwa na akili before you post anything. Whatever you have shared is the value of all money in circulation in Tanzania for the whole year while ya Kenya is only the money outside banks in a month.
We mpumbavu hujui chochote money in circulation ni hela iliyo kwenye mzunguko at any given point in time hahihusiani na mahesabu ya month wala year.
Rubbish education.
 
Mbuzi hujui chochote kuhusu uchumi variables ya mwaka au mwezi kwa circulation ya money inatumika wapi? Labda kwenye uchumi wa karatasi wa Kunyaland.
 
Mbuzi hujui chochote kuhusu uchumi variables ya mwaka au mwezi kwa circulation ya money inatumika wapi? Labda kwenye uchumi wa karatasi wa Kunyaland.
Wewe tulishakugundua haku a anything unajua. Kazi ni kupiga kelele with nothing in the brain.
 
We mpumbavu hujui chochote money in circulation ni hela iliyo kwenye mzunguko at any given point in time hahihusiani na mahesabu ya month wala year.
Rubbish education.
What the meaning of “as at” in case ulienda shule. Wewe kila siku you expose to us hiw deep your stupidity is always is.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…