Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema hizo takwimu zenu unishangaza sana. Yaani hako kanairobi kenya sqkm 696. Ndo kawe na km 7730?
Hii ni maajabu?
Labda kama wanahesabu na vichochoro
Kwani vichororo sio barabara? As long as they are tarmacked we count them as paved roads. In Kenya we don’t leave any stone unturned, are you aware that every road in Kibera slum is tarmacked?

Right now we are tarmacking all roads in Korogocho slum





 
Hii road ipo lodwar au lokitong.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lokitong yenye wananchi wanakosa umeme two months in a row. πŸ‘‡πŸΎ
View: https://youtu.be/kZ5axxxUYeo?si=9iRDl4oMjMCF41u1. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uongo mtaacha lini.?
Bongolala, hivi, hata kusoma hujui? Huoni mahali pameandikwa Lokitaung on the bottom right of the picture?

Stop talking about umeme wa Lokitaung wakati Dar cbd yenyewe umeme ni ndoto
 
Baboon bwana Arusha is supposed to have more roads than Turkana no matter the size, Arusha is urban area while Turkana is a village. So Turkana having larger road network which is paved should be a shame to your lazy government.
The 468km ni hizi highways alone, tena zile za Tanroads πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo hakuna barabara za tarura hata cm moja iliyotajwa. Kwene hizo.
 
Usitarajie uone nimepost msosi wa ku download mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi sio wewe wa ku download pesa za yenyew.
Wewe ni fukara na kila mtu anajua, wewe food yako ni zile takataka za wafungwa. Now back to topic, are you aware that Nairobi has the same number of paved roads as entire Tanzania?
 
The 468km ni hizi highways alone, tena zile za Tanroads πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo hakuna barabara za tarura hata cm moja iliyotajwa. Kwene hizo.
Barabara zote paved in Arusha I doubt hata kama inafika 459km. Kama unapinga Leta data to dispute.
 
was 2018,soon nakuja tena panapo uhai,this time nitapiga kambi home kwako kibera
 
was 2018,soon nakuja tena panapo uhai,this time nitapiga kambi home kwako kibera
Do you really the any known as β€œSPACE” and its function in a sentence? Shule ulisema ulifika level gani?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Barabara zote paved in Arusha I doubt hata kama inafika 459km. Kama unapinga Leta data to dispute.
Halafu anadhani za Turkana ni hiyo 408km pekee, hajui hiyo ni highway moja tu. πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kuna junction to Lokitaung 120km paved,
Kuna Lokichar to Lokwaromosing 32km
Ukiweka zote pamoja unapata 560km in an arid region with low population.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…