Umemshika makendeπππ€£.Lungalunga border Sasa ndio Moshi?ππ
Bro, Lungalunga Iko huko pwani. Zaidi ya kilometer 400 kutoka Moshi. Kubali unatumia video za watu ukidanganya ni zako.ππ
Mimi saa zingine Najua habari za buildings kuanguka Kenya kutoka kwa watanzania, lakini mimi nikiwaambia their government is lazy to save people from a collapsed two floor building wanalia ati sina utuπWanakuwanga watu wa kulialia alafu wanadhani the rest of the world wataruchukulia wanavyotuchukulia.ππ
Yani yupo tu. Ni kama useme Kisumu border na umeng'ang'ana kabisa Kisumu border. Hata mwenzake Geza Ulole amenshangaa. Jamaa lipo hapo Tandale kazi ni kuiba picha na video mtandaoni likijifanya eti limetembea.ππUmemshika makendeπππ€£.
Jamaa hajui penye moshi iko na pia hajui penye lungalunga iko, ni wapi anajua Tanzania tofauti na kwao?ππ
Kainuk to Nadapal pekee ni 408km - yote lami. Arusha Province yote ni 430km.ππNairobiWalker ulisema Turkana has more paved roads than Arusha? πππ
More of Lokataung
View: https://x.com/KeRRA_Ke/status/1096014878643572736
Hawa watu bado wako backward. Ndio maana huwa nawaambia whatever they are building now is to try to catch up with Kenya juu tumewaacha mbali sana.Kainuk to Nadapal pekee ni 408km - yote lami. Arusha Province yote ni 430km.ππ
Hata mimi naona. ππππΎWewe baboonman, after umegundua Lokitaung has paved roads sasa umehamia kwa electricity? At least they have electricity, remember more than 55% of Tanzanians still donβt have electricity in their homes.
View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1027555090029334528
Bongolala, hivi, hata kusoma hujui? Huoni mahali pameandikwa Lokitaung on the bottom right of the picture?Hii road ipo lodwar au lokitong.? πππlokitong yenye wananchi wanakosa umeme two months in a row. ππΎ
View: https://youtu.be/kZ5axxxUYeo?si=9iRDl4oMjMCF41u1. πππ uongo mtaacha lini.?
wewe jamaa kweli ni chizi. Unalinganisha road that crosses counties vs roads in one region.? πππ Arusha by the way iko na high ways 468km. Haya hii niambie hii distance si ni ya Arusha Dar.? πππππΎKainuk to Nadapal pekee ni 408km - yote lami. Arusha Province yote ni 430km.ππ
Especially cargoKenyan SGR still remains to be the only SGR will double stacking capabilities in Africa.
Kama kweli unataka fair comparison, tell us how many km of roads (high ways in kisumu boundaries). Then tulinganishe na zile za Arisha region. ππ sio unataja barabara za kukatisha nchi nzima ya kenya vs a single region in Tz.Kainuk to Nadapal pekee ni 408km - yote lami. Arusha Province yote ni 430km.ππ
That's Kileleshwa if I am not wrong
Wewe baboonman just imagine Turkana has more paved roads than Arusha your third City.
Baboonman road network ya Kisumu is longer than even ya Dar is Slum.Kama kweli unataka fair comparison, tell us how many km of roads (high ways in kisumu boundaries). Then tulinganishe na zile za Arisha region. ππ sio unataja barabara za kukatisha nchi nzima ya kenya vs a single region in Tz.
Turkana au the entire Kenya.? πππ Arusha iko paved roads more than zile zilizopo Naipori. Kama naongea uongo Njoo na facts hapa.Wewe baboonman just imagine Turkana has more paved roads than Arusha your third City.