Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watakuonyesha ile ya 2017 ya World Bank. πŸ˜‚ πŸ˜‚
Wanasema hakuna projects zinaendelea Kenya while we consume more cement than themπŸ˜‚πŸ˜‚

Kenya Cement Consumption 2023 is 9.2M tonnes.


Tanzania cement consumption is 8M tonnes.
 
Lungalunga border ipo wapi,then sikiliza clip ya pili demu ananionya na jamaa hapo kilimani kuna wezi wa simu na nikafunga kioo,sikiliza kiswahili chetu,eti nidownload online!
 
Lungalunga border ipo wapi,then sikiliza clip ya pili demu ananionya na jamaa hapo kilimani kuna wezi wa simu na nikafunga kioo,sikiliza kiswahili chetu,eti nidownload online!
Ukishashikwa kubaliπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mengine unaacha yakupite. Ujuaji hauna faida ya yoyote. Kukaa kimya ni busara.

Hii battle isikufanye ukose utu. Watu 16 wamekufa pale.
 
Mengine unaacha yakupite. Ujuaji hauna faida ya yoyote. Kukaa kimya ni busara.

Hii battle isikufanye ukose utu. Watu 16 wamekufa pale.
Nyinyi watanzania sijui mnakuanga aje? When buildings fall in Nairobi mnashingilia na kuzipost hapa 2 weeks none stop, lakini building moja ikianguka Tanzania mnataka tuwe na utu?

What kind of double speak is that? Ama za Kenya pekee ndio zinafaa kushangiliwa zikianguka?

NairobiWalker come see thisπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lungalunga border ipo wapi,then sikiliza clip ya pili demu ananionya na jamaa hapo kilimani kuna wezi wa simu na nikafunga kioo,sikiliza kiswahili chetu,eti nidownload online!
Lungalunga border Sasa ndio Moshi?πŸ˜‚πŸ˜‚

Bro, Lungalunga Iko huko pwani. Zaidi ya kilometer 400 kutoka Moshi. Kubali unatumia video za watu ukidanganya ni zako.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii road ipo lodwar au lokitong.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lokitong yenye wananchi wanakosa umeme two months in a row. πŸ‘‡πŸΎ
View: https://youtu.be/kZ5axxxUYeo?si=9iRDl4oMjMCF41u1. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uongo mtaacha lini.?
Wewe baboonman, after umegundua Lokitaung has paved roads sasa umehamia kwa electricity? At least they have electricity, remember more than 55% of Tanzanians still don’t have electricity in their homes.


View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1027555090029334528
 
Wanakuwanga watu wa kulialia alafu wanadhani the rest of the world wataruchukulia wanavyotuchukulia.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lungalunga border Sasa ndio Moshi?πŸ˜‚πŸ˜‚

Bro, Lungalunga Iko huko pwani. Zaidi ya kilometer 400 kutoka Moshi. Kubali unatumia video za watu ukidanganya ni zako.πŸ˜‚πŸ˜‚
Umemshika makendeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Jamaa hajui penye moshi iko na pia hajui penye lungalunga iko, ni wapi anajua Tanzania tofauti na kwao?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanakuwanga watu wa kulialia alafu wanadhani the rest of the world wataruchukulia wanavyotuchukulia.πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi saa zingine Najua habari za buildings kuanguka Kenya kutoka kwa watanzania, lakini mimi nikiwaambia their government is lazy to save people from a collapsed two floor building wanalia ati sina utuπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…