Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They travel because they actually have money to tour other countries. If you ever get money in your life, you'll also tour other countries and avoid spending your whole life in Tandale.
Yani watanzania are very backward. I think pesa ndio hawana and that’s why hata touring around ni shida. Wamekuwa wakipiga kelele hapa na hata touring in their own country hawawezi, mtu kama watchman aka The best 007 hajaipanda hata basi ya kumpeleka kwa border ya any country 😂😂
 
Unaweza toa mtu kijijini ila huwezi toa kijiji kwa akili yake. Hawa watu hawana exposure.😂😂
 
Alafu bado wako na nguvu ya kuongelea barabara za Nairobi😂😂
Yani mtu anapost barabara ya Westlands, barabara smooth haina porthole anasema iko worse than Kigoma wakati anpoishi hamna hata hiyo lami. Yani wewe unaicheka picha ya kwanza wakati bosi wako anaishi kwa picha ya pili. Wee mwenye hatujui sasa unapoishi panakaa aje. 😂 😂 😂

 
Ndio gia mnayoitumia eeh! Wabongo wawili wakija huko mnaiita Nairobi London. Pathetic
I call out your idiot brothers for saying something stupid over and over and you turn it around and say I'm the one saying it? Akili ya wapi hii?
 
2018 nilipitia border ya moshi to kundustan,hapo nipo na mtoto wa kikamba kaoza meno yote,kazuri kimtindo,nilikutana nacho schiphol mimi naenda TZ chenyewe kinaenda kundustan,baada ya siku kadhaa nikakiibukia kundustan,2020 nilipanga niende kundustan covid ikazingua,hii 2024 au 2025 nitaenda kundustan,hapo ndio kilimani wapotambia kunyan,kumeparara vibaya
 

Attachments

  • VID-20241027-WA0021.mp4
    1.3 MB
  • VID-20241027-WA0019.mp4
    4.8 MB
  • VID-20241027-WA0020.mp4
    9.6 MB
  • VID-20241027-WA0018.mp4
    3.5 MB
  • VID-20241027-WA0017.mp4
    5.8 MB
Border ipi hii?
 
Kumbuka mipango ya city metro iko mbioni pia.
 
Eti hapo sasa ni equivalent ya Spring Valley, Lower Kabete ama Kyuna vile 🤣🤣🤣
Unakosea Spring Valley heshima bro. Hii hata haifikii Kahawa Sukari. Kahawa sukari mtaa wa juzi una lami 100%, Mbezi mtaa wabjadi vumbi tupu. Alafu wenyewe akina instanbul wanashinda kutafuta pothole Nairobi.😂😂
 
We have plenty of those in Tanzania and as it seems this is your only longest road which was recently constructed thats why you keep posting it here everytime.
Tuliwahi kuwaomba wataje japo barabara 5 zenye urefu wa km 1000 za rami ili angalao kudhibitisha hizo km 20000 wanazotutajia
 
Tuliwahi kuwaomba wataje japo barabara 5 zenye urefu wa km 1000 za rami ili angalao kudhibitisha hizo km 20000 wanazotutajia
I remember well explaining that the two furthest towns from each other in Kenya are Lungalunga and Lokitaung and they're 1600km apart and they're connected by tarmac. Ama mlitaka tujenge Hadi tuingie South Sudan na Tanzania? Bongolala mna shida ya kufikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…