Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Mimi ndio nakwambia greda zilifika mapema sana pamoja na dumper trucks.

Ligi za kitoto ndio kama hizi za ubishi tu bila kuwa na facts. Nilikuwepo eneo la tukio nusu saa tu baada ya janga kutokea. Na hizo greda zilifika muda huo huo.

Huu uzi unaonesha watu wana interest na watu badala ya kuwa na interest na Nchi kwanza. Of which it's very bad. Siku jua hilo hapo kabla
 
Kweli mkuu, mimi nilichelewa kufika eneo la tukio kama masaa mawili hivi, lakini greda nilizikuta.
 
Whaterver that navaa, you can’t afford. Chill. Vitu unavaa vipo allover JF, everyone knows you.
Bro, nobody anaezashindwa kupata 30 bob hapa kununua hii takataka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡



Nobody anaezashindwa pia kupata 20 bob ya kununua Pepsi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…