ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,863
TOPETOPE ๐๐๐๐
Chakula hakiwezi kuachwa kulimwa Bali tunatakiwa kupiga kampeni kwenye Yale maeneo ambayo hawana zao la kibiashara mfano mikoa kama kigomaHapana kwani mbona Kuna mazao mengi mpya yanalimwa na watu hawajaacha kulima mahindi?
As long as Kenya Airways have shares there it is owned by Kenyans.Precision Air is not a Kenyan Airline
58% of the company is owned by Tanzanians, 41% Kenya Airways and 1% by other nationals. The anchor share holders, being Kenya Airways and local Tanzanian businessman. The airline based at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.
So tuwache kutumia magari ama?Kaka tufanye umeshinda.
Ila Kwa Kenya angalau mlitakiwa mpunguze traffic jam,kwenu imezidi.
Habiria ndio nini?Mizigo na habiria. Tanzania ni nyingi Sana na Kila siku wanaingiza magari. Nenda kwenye mining sector, cement industries.
Hii inaitwa ya chembe kidevu. Sisi tunasogeza taarifa mpya kila mweziHabiria ndio nini?
Uzuzri hao wa kuenda Gulf sio wauza dawa za kulevya na omba omba kama watanzania wenzako wanaoenda huko๐๐Nyie mnaexport slave kwenda Gulf Kwa waarabu na Rais wenu ndo anaye wachuuza
Kundudweller bado upo unabishana.Uzuzri hao wa kuenda Gulf sio wauza dawa za kulevya na omba omba kama watanzania wenzako wanaoenda huko๐๐
Vitu vya kawaida sana. That news you should tell Burundians cause hao ndio hawana hizo cargo wargons.Hii inaitwa ya chembe kidevu. Sisi tunasogeza taarifa mpya kila mwezi
View: https://x.com/tzrailways/status/1857310589497876849?t=MfJK9tH5NwlIQivzceHmUg&s=19
Ebu nikulize kitu, kuenda kwa Samia Brazil inasaidia watanzania na nini? Do you usually have brains?Kundudweller bado upo unabishana.
View: https://www.instagram.com/p/DCYdRhTPkcZ/?igsh=dW15YXh3ZGdzYjho