Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kuna magari kuliko tanzania na tz ndo wengi ki population kuliko Kenya kuonyesha kenya ni matajiri zaidi
Sio kweli. Labda nyinyi population iko centred sehemu moja. Central kenya, Near indian ocean and Western kenya. 50 million people wanaishi eneo dogo sana.
Tanzania iko scattered...imagine lake zone pekee ina watu kuliko zone zote nchi hii
Na bado kuna Eastern zone, central zone, northern zone na southern Highlands
 
Wah!😳
Is this how Tanzanians reason? How is population density related to number of cars in a particular country?

Aren't we just supposed to use vehicle registration data to know the number of cars in Kenya and Tanzania? How does population density come in in this case?
 
Our government ni sikivu and delivers on all fronts we can't complain much.
Sisi huwa tuna sort out our problems in a consultative manner na decisions reached by the government are all inclusive unlike nyie state ya makanjanja kila mtu kambale.
Ingekuwa ni hivyo hawangekuwa wanapokea mishahara midogo ikilinganishwa na wenzao kutoka Kenya
 
How is population density related to number of cars in Tanzania? Ni mimi ndio sielewi kitu hapa ama?
 
bado kenya inabaki kua na magari mengi kwenye eneo ndogo kuliko Tanzania
 
Siongei kuhusu density, naonge kuhusu registered vehicles zenye number plate

Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania 👌🏻
Na kenya ina population ndogo kuliko Tanzania
 
Aisee mie sipo upande wa utajiri na umasikini,mimi nipo upande wa miundombinu.
Miundombinu mliyo nayo haikuhitajika kusikika kuwa ninyi mna tatizo kubwa la foleni.
China south africa na america kuna foleni kila siku na kuna flyover nyingi kuliko africa yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…