Ebu tuonyeshe hilo tope tuone, na ukipata inform me so that I leave JF for good.Bora kuliko lile tope la Busia!
Nionyeshe mahali kenya kuna flyover 'bila uhutaji' 🤣🤣Tanzania inajenga Kwa uhitaji.
Haijengi tu kujaza miundombinu pasi na uhitaji.
Umeanza kuweweseka, nikwambia Tanzania ni net exporter wa EAC and Sadc ukabisha 😂😂😂Not the first time, hata 2021 Tanzania was the leading source of import for Uganda and later on tukawapita.
Huu ni upumbavu, tunahitaji warafiki zetu wa kweli,na rafiki zetu wa kweli wapo BRICKS. SIO hawa mabeberu
That’s an excuse for not having flyovers and interchanges outside Dar is slum. Anyway akikuonyesha nitag😂Nionyeshe mahali kenya kuna flyover 'bila uhutaji' 🤣🤣
Mpumbavu ni wewe ,Tanzania haifungamani na upande wowote.Huu ni upumbavu, tunahitaji warafiki zetu wa kweli,na rafiki zetu wa kweli wapo BRICKS. SIO hawa mabeberu
Huu ni upumbavu, tunahitaji warafiki zetu wa kweli,na rafiki zetu wa kweli wapo BRICKS. SIO hawa mabeberu
Ila BRICs walivyotualikaga kama Obser kwani wao walikuwa wanavutia upande upi?Naona kama wana mpango wa kutuvutia kwao ukumbuke sisi hatufungamani na upande wowote tunatakiwa kujali masilahi yetu tu
Naomba nikuulize swali moja tu na unijibu honestly.Nionyeshe mahali kenya kuna flyover 'bila uhutaji' 🤣🤣
Nishamuuliza swali kamsaidie kujibu.That’s an excuse for not having flyovers and interchanges outside Dar is slum. Anyway akikuonyesha nitag😂
Wewe quack man show us flyovers outside Dar.Naomba nikuulize swali moja tu na unijibu honestly.
Licha ya ma flyover yaliyojaa Kenya je kati ya Kenya na Tanzania yenye flyover chache wapi Kuna foleni kupitiliza!??
Jibu honestly tafadhali.
Jibu swali langu kama huwezi nyamaza mwenzako alijibu.Wewe quack man show us flyovers outside Dar.
Mkijenga any flyover, interchange na overpass outside Dar njoo tuongee.Jibu swali langu kama huwezi nyamaza mwenzako alijibu.
Kupata interchange kama hiyo Tanzania ni mtihaniHili andaki ni la nini hasa?