President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
🚮🚮🚮 Zaidi ya kuropoka na ushabiki hunaga content ya maanaAcha ujinga so tushangilie na ujinga mlioweka wenyewe mjifanye kutatua?
Jamaa wa kuomba picha bana, yani unajiaibisha kila mahali?
Dar enyewe iko na interchanges tatu na mbili tu ndio za maana😂😂Interchange wakati kwao lazima uende Dar ndio uone interchange, Kenya karibia county zote Kuna interchange. 😂😂
Ulitaka ifanye nini?Tatizo sio kukusanya tatizo ni matumizi, hiyo pesa yote inaenda kulipa mishahara
Kisumu has a lot of construction going on. Kwanza there are construction of 17 buildings of 17 floors each, something that is not happening anywhere in Tanzania.Kisumu ina hata mradi wa barabara meter 10?
So mnafurahia ati mmepita Kenya in importing Ugandan products? Kweli kukosa akili ni shida😂😂🤣
Interchanges zenyewe ndio hizi hapa😂😂🤣👇👇Interchange wakati kwao lazima uende Dar ndio uone interchange, Kenya karibia county zote Kuna interchange. 😂😂
Not the first time, hata 2021 Tanzania was the leading source of import for Uganda and later on tukawapita.Tanzania overtakes Kenya as Uganda’s largest source of imports in Africa
Almost half of Uganda's imports from within Africa are sourced from Tanzania, which is the second largest source of Uganda's imports after Chinawww.thecitizen.co.tz
70% goes to loan repayment. The rest recurrent expenditure, counties, development projects etc.
Kalipeni mishahara ya walimu na madaktari na countries mpeleke hela si za mafungu.Ulitaka ifanye nini?
Kusoma ndio hujui ama english ndio shida?So mnafurahia ati mmepita Kenya in importing Ugandan products? Kweli kukosa akili ni shida😂😂🤣
Because we pay our loans, ama you expected us to beg for loan forgiveness vile mlibembelezana mkasemehewa?70% goes to loan repayment. The rest recurrent expenditure, counties, development projects etc.
Remember Tanzania and Somalia are the only countries in East Africa washaishindwa kulipa loan hadi wakasemehewa. So don’t dictate to us how we should utilise our funds.Kalipeni mishahara ya walimu na madaktari na countries mpeleke hela si za mafungu.
Bora kuliko lile tope la Busia!Reasons why Tanzania is still LDC, see their highways 😂😂
View: https://x.com/tanroas/status/1856618946574635169